jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mwanza ibarikiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kuna dude la kuvunja na shoka linakuja la GSM kushirikiana na NHC, Mwezi wa tisa kazi inaanza kama kawa.Mwanza ibarikiwe.
Bado kuna dude la kuvunja na shoka linakuja la GSM kushirikiana na NHC, Mwezi wa tisa kazi inaanza kama kawa.
location ya jengo itakuwa wapi aise?Bado kuna dude la kuvunja na shoka linakuja la GSM kushirikiana na NHC, Mwezi wa tisa kazi inaanza kama kawa.
Litakuwa pale Lumumba mkabala na Nono Supermarket au mkabala na Sweet Corner! kuna nyumba 3 pale zinapigwa nyundo wapangaji wamepewa notice ya miezi 3 wahame.
Mitaa ya lumumba maeneo karibu na vunja bei
Umejibu kiundani kabisaaLitakuwa pale Lumumba mkabala na Nono Supermarket au mkabala na Sweet Corner! kuna nyumba 3 pale zinapigwa nyundo wapangaji wamepewa notice ya miezi 3 wahame.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
imekaa poa sana hiiLitakuwa pale Lumumba mkabala na Nono Supermarket au mkabala na Sweet Corner! kuna nyumba 3 pale zinapigwa nyundo wapangaji wamepewa notice ya miezi 3 wahame.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Mtaa wa lumumbaView attachment 2693719
Hapa n mtaa gan niambien maana nliondk Mwanza mda mrefu
Kuna tetesi lango inahamishiwa nyegezi..Kimya wadau
Fafanua vizuri lango ipi inahamishwa?Kuna tetesi lango inahamishiwa nyegezi..
Ndo nin sasaWasiopajua Genever of Africa utawajua tu
Mlango mmoja inahamishiwa Nyegezi stand ya zamani ambayo ilitumika wakati stend mpya inajengwaFafanua vizuri lango ipi inahamishwa?
Mmmmh sidhan kama ni kweliMlango mmoja inahamishiwa Nyegezi stand ya zamani ambayo ilitumika wakati stend mpya inajengwa
Kama miindombinu itawekwa ya kisasa Pale Ni Heri ihamie kule na itachangamsha lile eneoMlango mmoja inahamishiwa Nyegezi stand ya zamani ambayo ilitumika wakati stend mpya inajengwa