Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Wasiopajua Genever of Africa utawajua tu

Yaani anzia pale Bwawa la Mavi pale lemara[emoji673]njoo dalaja Mbili [emoji673]Ungalimited, Parote[emoji673] Sombetini [emoji673] Mbauda kwa wauza mahindi pale mpaka Majengo ya Chini, Rudi huku juu Matejoo ni full Slums , hafu unalinganisha Mwanza na Arusha kiaje jombii.
 
😀😀
 
Tope la huko kipindi cha mvua ni hatari
 
Wakuu ivi kuna resort gani nzuri yenye swimming pool achana na hii ya Rock beach imejaa uchafu na fujo
 
Mwanza nilikua naichukulia poa. Kwasababu nimezaliwa na kukulia Dar. Mwaka jana nilifika aisee ni mji mzuri sana.

Mandhari safi, hali ya hewa imetulia hakuna joto la kuunguza, yani jua linaweza waka na usitoke jasho kama huku Dar.

Nilitamani kuwekeza kule. Tatizo ni mbali. Likizo ya mwaka huu ntaenda tena kula bata hata wiki moja tu inshallah [emoji120]
 
Karibu sana
 
Back
Top Bottom