livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Wasiopajua Genever of Africa utawajua tu
Geneva gani wewe, Mi ni mchuga lkn bado tuko mwendo wa kobe, Mwanza mwendo wake wa Ngiri asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiopajua Genever of Africa utawajua tu
Wasiopajua Genever of Africa utawajua tu
😀😀Yaani anzia pale Bwawa la Mavi pale lemara[emoji673]njoo dalaja Mbili [emoji673]Ungalimited, Parote[emoji673] Sombetini [emoji673] Mbauda kwa wauza mahindi pale mpaka Majengo ya Chini, Rudi huku juu Matejoo ni full Slums , hafu unalinganisha Mwanza na Arusha kiaje jombii.
[emoji3][emoji3]
Tope la huko kipindi cha mvua ni hatariYaani anzia pale Bwawa la Mavi pale lemara[emoji673]njoo dalaja Mbili [emoji673]Ungalimited, Parote[emoji673] Sombetini [emoji673] Mbauda kwa wauza mahindi pale mpaka Majengo ya Chini, Rudi huku juu Matejoo ni full Slums , hafu unalinganisha Mwanza na Arusha kiaje jombii.
Tope la huko kipindi cha mvua ni hatari
Ni mfinyanzi linanata, halafu kukiwaka jua Kali ardhi inapasuka. Ni mbuga kabisaTope la huko kipindi cha mvua ni hatari
Wakuu ivi kuna resort gani nzuri yenye swimming pool achana na hii ya Rock beach imejaa uchafu na fujo
tunza beach resort,,, malaika beach resort,
Wag Hill resort na samanene ..Vipi za Luchelele
Nimeenda hapa Wag hill aloo ni balaa watu wamewekeza pesa aiseeWag Hill resort na samanene ..
Malaika beaches resort, Elly's beach resort.Wakuu ivi kuna resort gani nzuri yenye swimming pool achana na hii ya Rock beach imejaa uchafu na fujo
Hii elly iko wapi?Ina swimming poolMalaika beaches resort, Elly's beach resort.
Yes inayo, ipo nyangugeHii elly iko wapi?Ina swimming pool
Karibu sanaMwanza nilikua naichukulia poa. Kwasababu nimezaliwa na kukulia Dar. Mwaka jana nilifika aisee ni mji mzuri sana.
Mandhari safi, hali ya hewa imetulia hakuna joto la kuunguza, yani jua linaweza waka na usitoke jasho kama huku Dar.
Nilitamani kuwekeza kule. Tatizo ni mbali. Likizo ya mwaka huu ntaenda tena kula bata hata wiki moja tu inshallah [emoji120]
Aisee ni mbali kule ila ntapatembelea tuYes inayo, ipo nyanguge
Aisee ni mbali kule ila ntapatembelea tu
Aisee ni mbali kule ila ntapatembelea tu