Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Ryan bayHapa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ryan bayHapa wapi?
Hana mbambambaaAtafika 10f kweli huyu samike?
Hayo ni mawili ya mbele kuna majengo matano pamoja na uwanja wa michezo.Majengo yanayonjengw mapya nadhn n matatu au wamepang kuongez Zaid
Asante kwa taarifaHayo ni mawili ya mbele kuna majengo matano pamoja na uwanja wa michezo.
Mwenge Kuja kuzimiwa mwanz itakua na impacts kubw kuzindua daraja la jpm , meli ya mv mwnza, soko kuu,kuwek msing wa ujenz wa barabar ya nyerer na kenyatta njia nne... Pengne na makuyun mpk buzuruga
Kumbe usanifu, ujenzi ni baada ya miaka sita, usije kuamini wanasiasa.
Huo mwenge unazimwa lini mkuu? Hakuna kitu hata kimoja kitakachofanyika hapo, labda wazindue ujenzi wa barabara ya airport- igombe, 10km mengine yamekaa kisanii sana.Mwenge Kuja kuzimiwa mwanz itakua na impacts kubw kuzindua daraja la jpm , meli ya mv mwnza, soko kuu,kuwek msing wa ujenz wa barabar ya nyerer na kenyatta njia nne... Pengne na makuyun mpk buzuruga
Nadhn huo ujenz haukwepekw ilikua lazm usubil daraja la jpm lakn pia n kigezo cha kuombea kura 2025 na washasem bajet ya 2024/25Kumbe usanifu, ujenzi ni baada ya miaka sita, usije kuamini wanasiasa.
Nadhn huo ujenz haukwepekw ilikua lazm usubil daraja la jpm lakn pia n kigezo cha kuombea kura 2025 na washasem bajet ya 2024/25Kumbe usanifu, ujenzi ni baada ya miaka sita, usije kuamini wanasiasa.
Mwez wa tisa mwak keshoHuo mwenge unazimwa lini mkuu? Hakuna kitu hata kimoja kitakachofanyika hapo, labda wazindue ujenzi wa barabara ya airport- igombe, 10km mengine yamekaa kisanii sana.
Hiyo barabara hazikuwemo kwenye bajeti hiyo pesa inatoka wapi? Endeleeni kuishi kwa kujifariji hivyo hivyo hakuna kitu kitakachofanyika zaidi ya ahadi hewa.Nadhn huo ujenz haukwepekw ilikua lazm usubil daraja la jpm lakn pia n kigezo cha kuombea kura 2025 na washasem bajet ya 2024/25
Ujenz unaanz wa Airport igombe unaanz soon upo kwen bajet 2023/24Huo mwenge unazimwa lini mkuu? Hakuna kitu hata kimoja kitakachofanyika hapo, labda wazindue ujenzi wa barabara ya airport- igombe, 10km mengine yamekaa kisanii sana.
Kama mwezi watisa hapo watazindua soko, daraja la jpm, meli na ujenzi wa barabara ya airport - igombe hakuna lingine watafanya.Nadhn huo ujenz haukwepekw ilikua lazm usubil daraja la jpm lakn pia n kigezo cha kuombea kura 2025 na washasem bajet ya 2024/25
Mwez wa tisa mwak kesho
Hii uhakika.Ujenz unaanz wa Airport igombe unaanz soon upo kwen bajet 2023/24
Kwa mam ili ajisafishe Kanda ya ziwa lazm izo barabar zijengwe boss amin kwmba istoshe ilikuepo kwen plan tok mda San japo zimechelew ila ilo daraja la jpm litaforc kujenga njia nne tu n jmbo la lazm japo sias zipo ila kun seem watafny tu bossHiyo barabara hazikuwemo kwenye bajeti hiyo pesa inatoka wapi? Endeleeni kuishi kwa kujifariji hivyo hivyo hakuna kitu kitakachofanyika zaidi ya ahadi hewa.
Hiyo barabara hazikuwemo kwenye bajeti hiyo pesa inatoka wapi? Endeleeni kuishi kwa kujifariji hivyo hivyo hakuna kitu kitakachofanyika zaidi ya ahadi hewa.
Wakizindua wanawek jiwe la msing ujenz barabar four lanes nyerer na kenyatta... Anaamin mwanz watampa kura kumaliz ujenz wa izo barabarKama mwezi watisa hapo watazindua soko, daraja la jpm, meli na ujenzi wa barabara ya airport - igombe hakuna lingine watafanya.
Bado mpk wakae mwak mpya wa fedha 2024!/25 ndo zitakua includedUnamaanisha bajeti ya 2024/2025 ipo tayari?
Yeah ila wanaanz na 10km kwnzHii uhakika.
Mkuu tusiwe kama watoto wadogo kwa hiyo sasa hivi serikali inatafuta pesa kwaajili ya kanda ya ziwa tu we unadhani hiyo miradi iliyosemwa ndio inafanyiwa kazi? Wamesema zaidi ya miradi 11 ya Mwanza yenye thamani ya zaidi ya bilion 900 we unazani itafanyika? Na bado ataenda mikoa ya kusini nao watapewa ahadi kemkem bado kaskazini, nyanda za kati na magharibi, tule mtori nyama tunaweza kuzikuta chini.Kwa mam ili ajisafishe Kanda ya ziwa lazm izo barabar zijengwe boss amin kwmba istoshe ilikuepo kwen plan tok mda San japo zimechelew ila ilo daraja la jpm litaforc kujenga njia nne tu n jmbo la lazm japo sias zipo ila kun seem watafny tu boss