Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Screenshot_20231113-131308.png
 
Mwenge Kuja kuzimiwa mwanz itakua na impacts kubw kuzindua daraja la jpm , meli ya mv mwnza, soko kuu,kuwek msing wa ujenz wa barabar ya nyerer na kenyatta njia nne... Pengne na makuyun mpk buzuruga
Huo mwenge unazimwa lini mkuu? Hakuna kitu hata kimoja kitakachofanyika hapo, labda wazindue ujenzi wa barabara ya airport- igombe, 10km mengine yamekaa kisanii sana.
 
Kumbe usanifu, ujenzi ni baada ya miaka sita, usije kuamini wanasiasa.
Nadhn huo ujenz haukwepekw ilikua lazm usubil daraja la jpm lakn pia n kigezo cha kuombea kura 2025 na washasem bajet ya 2024/25
 
Mwez wa tisa mwak kesho
 
Hiyo barabara hazikuwemo kwenye bajeti hiyo pesa inatoka wapi? Endeleeni kuishi kwa kujifariji hivyo hivyo hakuna kitu kitakachofanyika zaidi ya ahadi hewa.
 
Ujenz unaanz wa Airport igombe unaanz soon upo kwen bajet 2023/24
 
Nadhn huo ujenz haukwepekw ilikua lazm usubil daraja la jpm lakn pia n kigezo cha kuombea kura 2025 na washasem bajet ya 2024/25

Mwez wa tisa mwak kesho
Kama mwezi watisa hapo watazindua soko, daraja la jpm, meli na ujenzi wa barabara ya airport - igombe hakuna lingine watafanya.
 
Hiyo barabara hazikuwemo kwenye bajeti hiyo pesa inatoka wapi? Endeleeni kuishi kwa kujifariji hivyo hivyo hakuna kitu kitakachofanyika zaidi ya ahadi hewa.
Kwa mam ili ajisafishe Kanda ya ziwa lazm izo barabar zijengwe boss amin kwmba istoshe ilikuepo kwen plan tok mda San japo zimechelew ila ilo daraja la jpm litaforc kujenga njia nne tu n jmbo la lazm japo sias zipo ila kun seem watafny tu boss
 
Unamaanisha bajeti ya 2024/2025 ipo tayari?
 
Kama mwezi watisa hapo watazindua soko, daraja la jpm, meli na ujenzi wa barabara ya airport - igombe hakuna lingine watafanya.
Wakizindua wanawek jiwe la msing ujenz barabar four lanes nyerer na kenyatta... Anaamin mwanz watampa kura kumaliz ujenz wa izo barabar
 
Kwa mam ili ajisafishe Kanda ya ziwa lazm izo barabar zijengwe boss amin kwmba istoshe ilikuepo kwen plan tok mda San japo zimechelew ila ilo daraja la jpm litaforc kujenga njia nne tu n jmbo la lazm japo sias zipo ila kun seem watafny tu boss
Mkuu tusiwe kama watoto wadogo kwa hiyo sasa hivi serikali inatafuta pesa kwaajili ya kanda ya ziwa tu we unadhani hiyo miradi iliyosemwa ndio inafanyiwa kazi? Wamesema zaidi ya miradi 11 ya Mwanza yenye thamani ya zaidi ya bilion 900 we unazani itafanyika? Na bado ataenda mikoa ya kusini nao watapewa ahadi kemkem bado kaskazini, nyanda za kati na magharibi, tule mtori nyama tunaweza kuzikuta chini.
 
Back
Top Bottom