Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeap, hivi jengo jipya la library ya mkoa hali ikoje au ndio ahadi hewaHakikaa
Ukiona siongelei jambo ujue hakuna uhakika wa mradi kufanyika leo wala kesho zaidi ya siasa ya hawamu hii.Yeap, hivi jengo jipya la library ya mkoa hali ikoje au ndio ahadi hewa
Kali sana hizi pichaHizi picha sijawahi ziona zikiwekwa humu au ni mimi tu 🤔🤔View attachment 2872878View attachment 2872879View attachment 2872880View attachment 2872881
Huu upo maeneo gani hapo city center
Hapo sio city centre kabisa.mradi city center
Location ni mhimu mkuu.
Hiyo ni package ya pili nahisi package ya tatu ni ujenzi wa kingo za mto mirongo na sijui mradi utaanza lini?
Niltoa mahala kwa mtu amepost mwanz mjin ila nmeangalia vzur city center hamn though sipo uko saiv pengne n seem nygneLocation ni mhimu mkuu.
Iv ile stend ya daladal waliokua wanajenga hapo stend haijakmilik?
Hamna stand mkuu Kuna vibarabara vya kushusha na kuoandishia abiria na sasa Kuna mitaro imechimbwaIv ile stend ya daladal waliokua wanajenga hapo stend haijakmilik?
Jengo lipo mtaa gan