Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

IMG-20240123-WA0053.jpg
 
Soko litakuja kukamilika mwezi wa sita na kufungiliwa rasmi mwezi wa nane, toka mwaka 2019 soko bado linajengwa tu hii hawamu ni hatari asee.
Afu yule mbunge wa nyamagna ametulia karidhika tu mbunge mpole Hana amshamasha hata km serkal inazngua ila wawakilish wetu hamn kitu
 
Ilo soko lilimuondoa Eng. Robert Gabriel kwa kufatilia sana, achana na hii nchi iliyojaa uchawa, mbunge naye atanapambana sana lakini hakuna namna inabidi kusifu juhudi hili apate hata kamradi ka matundu ya vyoo na madawati.
 
Soko la kujengwa miak 4 sas duh kwnz wameanz kubadilsh renda juu kwa juu na hii serkal na upigaji mmh izo bati za bei rahis bas izo mbao wanajenga km masoko ya zamn ten wakt n soko la kisasa
Wanakuambia bilion 23+
 
Yan viongoz wa mwnz city wabunge sio mipngo miji wa wanaohusk na uwezekaj wanakaz gan wametulia wamerdhik just second city lkn hamn wanachofny jiji linajijenga lenyew kiholela... Hamn barabar, nyumb zinajengw kiholela hawavutii wawekazaji Kuja kuwekez tok mikoa mingne na nje ya nchi... Wamekaa wanasubil serkal iseme cha kufany na serkal hain mda na mwnz haifatiliii miradi ndo km ivo miak 4 soko km ilo
 
Ilo soko lilimuondoa Eng. Robert Gabriel kwa kufatilia sana, achana na hii nchi iliyojaa uchawa, mbunge naye atanapambana sana lakini hakuna namna inabidi kusifu juhudi hili apate hata kamradi ka matundu ya vyoo na madawati.
Inaezkn pia maan mji wa mwnz unatumik kisiasa km seem ya kupt kura ikifk mwshon kikifanyik kitu kidog mwnz media km zote lakn dsm vinafanyik vitu vikubw wala havishangaz... Dats y big gape btn two cities
 
Dar peke ake inatengewa trilion 1.2+ kwaajil ya kuboresha jiji, majiji mengine kama Mwanza yanawekwa pamoja na miji kama nzega, bunda na miji ya calibre hiyo kwenye mradi wa TACTIC na bado huo mradi haujulikani lini wakandarasi wataingia site, toka mwaka 2021 nasikia mradi wa tactic mpka leo hakuna kilichofanyika, meli toka mwaka juzi tuliambiwa wapo 84% mbaka leo haijulikan itakamilika lini? Bado daraja laJPM tunaombiwa wapo 82% utakuja kushangaa linakuja kuzinduliwa mwaka 2025 wakati wa uchaguzi.
 
Inaudhi San ndo Maan Kenya wanatuchek tz Mombasa being second city utashngaa kisumu it's way better kw maendeleo lkn sis tupo na city moja dar afu kwngne n seem ya siasa tu sjui n msoga gang au n nin hawatak seem zingne ziendelee kuhamish tu mji kwend Dom ulikua Kaz wanatak only dar na lkn pia nahis kun mambo ya ukanda na uchama tatzo kubw lipo hapo
 
Wadanganyika wanakuambia Dar ndio Tanzania, na serikali inavyojua kuwafanya watu wa mikoani wajione dhaifu utasikia Dar inaongoza kwa mapato ya TRA kwa zaidi ya asilimia 80% hapo mtu wa mikoani lazima utulie, watu hawajui haya mapato ya Dar chanzo chake ni huko mikoani na uchumi wa Tanzania umeelekezwa Dar, kil kitu unacholipia iwe vocha, brela, n.k mapato yanahesabiwa Dar.
 
Back
Top Bottom