Wakuu hivi hizi pesa za miradi na miradi yenyewe je zinaendana au tunapigwa, jengo la thamani ya bilion 9 la serikali mtu binafsi anaweza kulijenga kwa milion 540 huu wizi, ubadhirifu wa mali ya umma utaisha lini miradi ya world bank hasa huu mradi ya tactic umegubikwa na ufisadi mkubwa, mfano mradi wa soko la samaki mkuyuni ni bilion 9 lakini hii render haina tofauti na banda la kufugia kuku, tofauti yake na banda la kufugia kuku wa kizungu ni ka sanamu ka samaki ambako gharama yake haizidi 30 milion, ilo jengo wangenip mimi ningejeka kwa bilion moja na chenji ikabaki, inauma sna tunashida ya barabara, madaraja na makalvat watu wanataka kutupiga bilion 9 kwa banda la kuku huku watu wakikenua meno nje bila kuangalia thamani halisi ya mradi.
Nipeni tofauti ya hii miradi mmoja ni bilion 9 na mwingine milion 540 na ina kaghorofa na hiyo ya bilion 9 ni banda na hakuna hata floor moja ya ghorofa
View attachment 2890564
Na huu mradi wa mh Maboto wa milion 540 utofauti upo wapi?
View attachment 2890570