Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza kasi ya ujenzi mwanza kwa kweli ni kubwa hapa kuna uwekezaji mkubwa unakuja joint venture kati ya GSM na NHC
IMG-20240306-WA0040.jpg

Ni karibu na soko kuu junction ya kuelekea makoroboi.
 
Kuna miradi zaidi ya sita inakuja ya NHC kushirikiana na private sector vighorofa ushenzi vimeanza kula nyundo.
 
Yeah ni kweli kabisa hapo Sweet corner na lingine ni mbele yake kidogo opposite na Soko kuu, vip Render zake zimeshatoka?
 
Mie nashauri jiji watafute namna ya kuwalipa fidia wale jamaa wa mlima wa Sahara na Igogo wahame maana pale ndio Rango la kuingia mjini kati na kila mgeni lazima apatazame pale basi hii itaondoa maneno maneno kuwa mwanza ni Slum
 
Private sector hizo sio za serikali, private hawawezi kuweka render hadharani lakini ni residential and commercial buildings
 
Mie nashauri jiji watafute namna ya kuwalipa fidia wale jamaa wa mlima wa Sahara na Igogo wahame maana pale ndio Rango la kuingia mjini kati na kila mgeni lazima apatazame pale basi hii itaondoa maneno maneno kuwa mwanza ni Slum
Watafute mara ngapi mnakumbuka wale wawekezaji wa kibrazil mlivyowapigia kelele adi wakaondoka?
 
Samhn kw kupost hii lakn wakuu saiv inshu ya kuitenga lake zone imekua kubw San Kwan utalii si arush ndo kitovu kwann ishu ya madini wapelek Tena arush wats wrong with government??... Hi kituo cha mafunzo ya ufundi kwen kuongeza thaman ilibd kijengwe mwanz kwann wachague upande mmoj ndo uwe kitovu na sio mji mkuu..... Mwnz hamn kituo chchote kikubwa au chuo lake zone nzima inaongoz kwa population na kuchangia mapato bt stil wanatusahau kwann sisi n wapole San au wajinga au ndo hatuna shida na miradi ya Maan au taasis muhmu za elimu n aibu nchi kuegemea upande mmoja kwa lengo fulan hatuwez muendelee kwa stail hiyo it's stupid...
 
Attachments

  • Screenshot_20240314-081722.png
    Screenshot_20240314-081722.png
    1.5 MB · Views: 16
Samhn kw kupost hii lakn wakuu saiv inshu ya kuitenga lake zone imekua kubw San Kwan utalii si arush ndo kitovu kwann ishu ya madini wapelek Tena arush wats wrong with government??... Hi kituo cha mafunzo ya ufundi kwen kuongeza thaman ilibd kijengwe mwanz kwann wachague upande mmoj ndo uwe kitovu na sio mji mkuu..... Mwnz hamn kituo chchote kikubwa au chuo lake zone nzima inaongoz kwa population na kuchangia mapato bt stil wanatusahau kwann sisi n wapole San au wajinga au ndo hatuna shida na miradi ya Maan au taasis muhmu za elimu n aibu nchi kuegemea upande mmoja kwa lengo fulan hatuwez muendelee kwa stail hiyo it's stupid...
Ishu ya michezo kwen uwanja na maandaliz ya afcon wamepita iv tukasem saw bt ishu ya madin it was supposed to be in lake zone...... Mbon walitak kujenga ile taasis ya misitu mwanz wakapiga kelel ikaondolew hawatak kuskia mwnz why
 
Back
Top Bottom