Karbu na hospital au litakua jengo la hosptalSubirieni mwaka huu kuna ten floor inanyanyuka pale mwanza University na eleven floor pia pale souk our toure hospital
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karbu na hospital au litakua jengo la hosptalSubirieni mwaka huu kuna ten floor inanyanyuka pale mwanza University na eleven floor pia pale souk our toure hospital
Nyamhongolo ilipokuwepo St Mary's Schools, ndio Wameanzisha hicho chuo wameanza na MD Programmes Mwaka huuMwanz university ipo mtaa gan
Private sector hizo sio za serikali, private hawawezi kuweka render hadharani lakini ni residential and commercial buildingsYeah ni kweli kabisa hapo Sweet corner na lingine ni mbele yake kidogo opposite na Soko kuu, vip Render zake zimeshatoka?
Watafute mara ngapi mnakumbuka wale wawekezaji wa kibrazil mlivyowapigia kelele adi wakaondoka?Mie nashauri jiji watafute namna ya kuwalipa fidia wale jamaa wa mlima wa Sahara na Igogo wahame maana pale ndio Rango la kuingia mjini kati na kila mgeni lazima apatazame pale basi hii itaondoa maneno maneno kuwa mwanza ni Slum
Nyamhongolo ilipokuwepo St Mary's Schools, ndio Wameanzisha hicho chuo wameanza na MD Programmes Mwaka huu
Kuna ujenzi umeanza/unaendelea kwenye hicho chuo nikaombe kazi ya kibarua cha ujenzi au bado kiongozi?Nyamhongolo ilipokuwepo St Mary's Schools, ndio Wameanzisha hicho chuo wameanza na MD Programmes Mwaka huu
Muda mrefu sana siko Mwanza wadau watakuja kukupa Muongozo mkuuKuna ujenzi umeanza/unaendelea kwenye hicho chuo nikaombe kazi ya kibarua cha ujenzi au bado kiongozi?
Noma sana mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥Mwanza kasi ya ujenzi mwanza kwa kweli ni kubwa hapa kuna uwekezaji mkubwa unakuja joint venture kati ya GSM na NHC
View attachment 2929428
Ni karibu na soko kuu junction ya kuelekea makoroboi.
Bado ujenzi haujaanzaKuna ujenzi umeanza/unaendelea kwenye hicho chuo nikaombe kazi ya kibarua cha ujenzi au bado kiongozi?
Bado lakini utaanza soonKuna ujenzi umeanza/unaendelea kwenye hicho chuo nikaombe kazi ya kibarua cha ujenzi au bado kiongozi?
Huu ni utalii tosha😁😁😁
Huu ni utalii tosha😁😁😁
Mkuu hili jengo nalo vp ujenzi uneshaanza au bado?.Mwanza kasi ya ujenzi mwanza kwa kweli ni kubwa hapa kuna uwekezaji mkubwa unakuja joint venture kati ya GSM na NHC
View attachment 2929428
Ni karibu na soko kuu junction ya kuelekea makoroboi.
UmeshaanzaMkuu hili jengo nalo vp ujenzi uneshaanza au bado?.
Ishu ya michezo kwen uwanja na maandaliz ya afcon wamepita iv tukasem saw bt ishu ya madin it was supposed to be in lake zone...... Mbon walitak kujenga ile taasis ya misitu mwanz wakapiga kelel ikaondolew hawatak kuskia mwnz whySamhn kw kupost hii lakn wakuu saiv inshu ya kuitenga lake zone imekua kubw San Kwan utalii si arush ndo kitovu kwann ishu ya madini wapelek Tena arush wats wrong with government??... Hi kituo cha mafunzo ya ufundi kwen kuongeza thaman ilibd kijengwe mwanz kwann wachague upande mmoj ndo uwe kitovu na sio mji mkuu..... Mwnz hamn kituo chchote kikubwa au chuo lake zone nzima inaongoz kwa population na kuchangia mapato bt stil wanatusahau kwann sisi n wapole San au wajinga au ndo hatuna shida na miradi ya Maan au taasis muhmu za elimu n aibu nchi kuegemea upande mmoja kwa lengo fulan hatuwez muendelee kwa stail hiyo it's stupid...