FUTURE PLAN
Senior Member
- Jun 11, 2023
- 186
- 212
View: https://youtu.be/GObNYVAwZNY?si=E1PUTb9plHhJJyo7
Jamaa zetu wa Ilemela naona wamenyanganywa chimbo Lao la Maokoto, Hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeambiwa usilete mambo ya kulinganisha sasa unaleta za kuleta unatutia aibu watu wa Chugastan si ajabu ndio maana Arusha tunadharauliwa vijana tunaitwa wavuta bangi hakuna nguvu kazi ya maana kwa vijana.Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
Yeah Wanaboresha Huduma na makusanyoNdo maendeleo safi!
Niliona kigoma mwalo wa kibirizi ulipokabidhiwa TPA ilikiwa vita.wavuvi wajinga sana wanapenda kujivutia bangi hapo kujiondokea na mizigo bila kuchangia serikali ,kutozana na halmashaur kihorera (mifuko ya watu)Yeah Wanaboresha Huduma na makusanyo
Ni kweli kabisa Serikali ikiamua sehemu inabadilika, ni juzi tu hapa Boat imezama na kuua watu manusura wa ajali wanadai ilikua inavuja hata kabla ya safari kuanza Naamini TPA wataimalisha ukaguzi wa vitu kama hiviNiliona kigoma mwalo wa kibirizi ulipokabidhiwa TPA ilikiwa vita.wavuvi wajinga sana wanapenda kujivutia bangi hapo kujiondokea na mizigo bila kuchangia serikali ,kutozana na halmashaur kihorera (mifuko ya watu)
Baada ya kuchukua TPA asee bishara imekuwa serious pamekuwa pasafi ,ajari ziwani zimeshuka ,usalama umeimarika etc
uko sawa kabisa hii ilikuwa plan ya zamani mimi hebu ngoja niongelee dampo la uchafu wa kawaida zamani sana nadhani ukitoka nje ya mji ukifika Iseni kulikuwa na dampo mji ulipanuka wakahamishia kule Buhongwa kwa mbele nadhani wanaita Nyashishi unaona makazi yamepanukaa Nyashishi napo sasa ni mjini.Ningekua nashiliki Vikao vya wakubwa ningeshauri wahamishe Hilo Dumpo la maji taka hapo Sabasaba, Eneo limezungukwa na Taasisi kama Chuo cha DIT, Chuo cha wanyama poli, Hospitali ya Sabato, Shule ya Msingi Isenga, Hotel, Soko la Sabasaba, Kiwanda cha Breweries na makazi ya watu unawekaje Dumpo hapo, ni ndio lango la kuingia Mwanza kwa wote wanaokuja na Flight afu unakutana na Harufu kali kishenzi
Dampo la Dar lilihamishiwa Pugu kinyamwezi ni mbali hatari kama unaenda Chanika huko, Kwa hilo la maji taka Mwanza limezidi sana ni sawasawa ukaweke Dampo la maji taka kule Msasani kule mbalamwezi Beach kuja mpaka Msasani Beach, afu hapo jirani kuna Hotels na Taasisi zinginezo wapeleke hata igombe huko ama Kayenze au wapeleke palepale Buhongwa wanaeneo kubwa sana kiasi wanaweza kuliweka katikati ya Eneo nalisilete shida sana kama ilivyo hapo Sabasaba, Hilo la Barabara nalo tatizo njia kuu Viongozi waachane na Short term Plan Taifa tunaongezeka kila uchwao tuangalie Long term Planuko sawa kabisa hii ilikuwa plan ya zamani mimi hebu ngoja niongelee dampo la uchafu wa kawaida zamani sana nadhani ukitoka nje ya mji ukifika Iseni kulikuwa na dampo mji ulipanuka wakahamishia kule Buhongwa kwa mbele nadhani wanaita Nyashishi unaona makazi yamepanukaa Nyashishi napo sasa ni mjini.
Tukija upande wa Dar miaka ya mwanzo ya 1970 hadi kufikia 1987 dampo lilikuwa Tabata serikali imehamisha sina uhakika ni wapi kwa sasa.
Unaona bro sisi waafrica sijui kwanini hatufikiria kitu cha miaka hata 200 mbele.
Nitatoa mfano wa barabara mbili mbili tokea hapo Magomeni hadi Ubungo toka izinduliwe haijapita ziadi ya miaka 35 na nakumbuka waziri flani alifungua bado yuko hai japo mzee kwa sasa mimi wakati huo namaliza chuo na sasa haijapita miaka mara barabara ya mwendo kasi ikabidi ya zamani ifumuliwe.
Ilitokea congo Tpa siwakubali vingi ila usimamizi wa tonage wako vizuri pia mama samia kawajazia usalama wa taia hawaweziNi kweli kabisa Serikali ikiamua sehemu inabadilika, ni juzi tu hapa Boat imezama na kuua watu manusura wa ajali wanadai ilikua inavuja hata kabla ya safari kuanza Naamini TPA wataimalisha ukaguzi wa vitu kama hivi