Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Deo Kisandu anatakiwa kufanyiwa "psychiatric evaluation", kwa maneno yale aliyoandika,mtu unaweka shaka kwamba nimzima.

Na ili kutopata fedheha ya kwenda kumhukumu mtu mwenye matatizo ya akili, serikaliinatakiwa kumpa nafasi ya kuangaliwa na madaktari wa akili wamuangalie.

Mimi kwa kawaida ni mtu ninayepigania sana uhuru wa kujieleza, naisema sana serikali kwa kukamata watu wanaojielezea, ni mtu wa mrengo wa "libertarian", kwa hivyo, kwa kawaida huwa natetea watu wanaotumia uhuru wao wa kujieleza.

Lakini pia, nikiona dalili za matatizo ya akili naona niseme.
 
aliandika wapi?...hayo mambo? sidhani kama kibarua chake ki salama tena dah....
 
nasubiria aachiwe huru aje aandike uzi wake maana utakuwa uzi mvurugano hasa😀😀😀

sikuwahi kudhani jamaa ni mwalimu aisee..
 
Mbona mpaka hapa kuna uzi umeletwa, maneno aliyosema hata mimi Al-Watan ambaye nishaona mambo mpaka ya Copa Cabana na Ibiza siwezi kuyarudia kwa kusitiri mila zetu.
doh..mkuu tena walipomuhoji sijui ndo alikuwa kamanda akajibu " bora angekua ka kijana ka mtaani haya mambo anafanya mwalimu?" nikajua hapa ndo basi tena..
 
Huyu jamaa signal zilishapotea kitambo sana kichwan, sijui hao wanafunzi anawafundisha nin
 
kuna wazo nimepata haraka haraka hapa...hivi na shule je? isije kuwa jamaa sasa wanataka kumfukuza shule kwa kutofika kazini bila taarifa...natania tuuu😀😀
 
Kwa niliyoyaona kule nachelea kusema lililompeleka selo ni lile la kumsapoti nabii tito......
hayo mengine hayana jinai yoyote isipokuwa itabidi wamuelemeze lugha ambayo angetamiwa kutumia
 
WAHADHIRI WALIONIFUNDISHA POLITICAL SCIENCE&PUBLIC ADMINISTRATION(Sayansi ya Siasa na Uongozi wa Umma) CHUO KIKUU SEKUCo/SEKOMU-Lushoto, Tanga 2009-2012.

1.Benedict Mdabagi
2.Flowin Mgani
3.Mchg. Godfrey Walalaze(Comred)
4.Mchg. Mlyuka
5.Prof. Pluru

Kozi zote ziko ndani ya Digrii yangu ya Elimu Maalum. Pia Prof. Bahendwa ndiye aliyenipa sapoti kuanzisha jalida LA Chuo "INCLUSIVE".

Aidha kipindi chote na soma AFISA USALAMA WA TAIFA hapo Lushoto alikuwa Mzee KABUTERANA ambaye kijana wake wa kiume ni Rafiki yangu.

Deogratius Nalimi Kisandu.
 
Pelekeni habari ubalozi wa USA, Obama apewe taarifa hizi
 
Back
Top Bottom