Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Deo Kisandu anatakiwa kufanyiwa "psychiatric evaluation", kwa maneno yale aliyoandika,mtu unaweka shaka kwamba nimzima.

Na ili kutopata fedheha ya kwenda kumhukumu mtu mwenye matatizo ya akili, serikaliinatakiwa kumpa nafasi ya kuangaliwa na madaktari wa akili wamuangalie.

Mimi kwa kawaida ni mtu ninayepigania sana uhuru wa kujieleza, naisema sana serikali kwa kukamata watu wanaojielezea, ni mtu wa mrengo wa "libertarian", kwa hivyo, kwa kawaida huwa natetea watu wanaotumia uhuru wao wa kujieleza.

Lakini pia, nikiona dalili za matatizo ya akili naona niseme.

MATUSI sio Uhuru wa kujieleza,
Uhuru wa kujieleza una mipaka, mipaka take ndio hiyo iliyoleteleza akamatwe.
Mtukanaji ametumia Uhuru vibaya..... Kudhibitiwa ni sahihi.
Uhuru huo wanaouita wa kujieleza na Uhuru wa habari ulisababisha mauaji makubwa Rwanda!

Mnaotetea jipimeni Mara nyingi nyingi
 
Wapi nimetetea?

Unaweza kunukuu nilipotetea?

Unajua kusoma?

Una njaa?

Umesoma huku unafukuzwa?
 
WAHADHIRI WALIONIFUNDISHA POLITICAL SCIENCE&PUBLIC ADMINISTRATION(Sayansi ya Siasa na Uongozi wa Umma) CHUO KIKUU SEKUCo/SEKOMU-Lushoto, Tanga 2009-2012.

1.Benedict Mdabagi
2.Flowin Mgani
3.Mchg. Godfrey Walalaze(Comred)
4.Mchg. Mlyuka
5.Prof. Pluru

Kozi zote ziko ndani ya Digrii yangu ya Elimu Maalum. Pia Prof. Bahendwa ndiye aliyenipa sapoti kuanzisha jalida LA Chuo "INCLUSIVE".

Aidha kipindi chote na soma AFISA USALAMA WA TAIFA hapo Lushoto alikuwa Mzee KABUTERANA ambaye kijana wake wa kiume ni Rafiki yangu.

Deogratius Nalimi Kisandu.
hahahahahahahahah............

duh!
hapo kwenye usalama ndipo shida ilipo.
 
Hao mapolisi wanatafuta kiki kupitia Deo.. hakuna lolote baya aliloandika.. zaidi ya hamu ya mwili wake kutenda yajulikanayo.

Haya wanaanza kushindana nani anajua kukamata watumia mitandao.
walichukua taadhari kabla ya hatari... ana weza kubaka... kwa hamu aliyo nayo... inayo mkereketa
 
Daah mshkaji naye kakamatwa kweli kipindi hiki si cha mchezo, ila tusubir yapo meng atatujuza akitoka
 
Mtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!

Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Wewe mwenyewe umeshindwa kuyaandika hayo maneno hapa pamoja na kwamba uko kwenye id fake
 
Akapimwe akili kama nabii Tito inawezekana kuna nati zimelegea

Nani aliekwambia huyo anaejiita nabii tito hana akili????
Angekua mchizi angekunywa bia??
Angetoa mistari ya biblia kuhus kunywa divai??
Wamepamba tu lugha hapo ili wamteme lkn angekua sheikh wa kiislamu saa hii anatumikia kifungo cha maisha
 
walichukua taadhari kabla ya hatari... ana weza kubaka... kwa hamu aliyo nayo... inayo mkereketa

Embu acha kuniandikia kitu ambacho labda wewe ndio unaweza kufikiri.. uache kabisa kumusingizia kwa upupwu kama huo.. yeye ndio mwanaume wa kwanza duniani kuwa na hiyo hamu.. pita hukoooo
 
Wewe mwenyewe umeshindwa kuyaandika hayo maneno hapa pamoja na kwamba uko kwenye id fake

Mimi huwa siandiki maneno zaidi ya kuandika maneno machafu.. usinipangie.. jiandikie utakavyo.. pia kule ni FB na humu ni JF.. umeshawahi kumuona anaandika hayo humu.. pita hukooooo
 
Embu acha kuniandikia kitu ambacho labda wewe ndio unaweza kufikiri.. uache kabisa kumusingizia kwa upupwu kama huo.. yeye ndio mwanaume wa kwanza duniani kuwa na hiyo hamu.. pita hukoooo
Ya Mungu mengi... usimalize maneno... katika imani... tuna ambiwa akuna mkamilifu awe mzazi, mlezi, mtoto, mjomba lakini ni mwanadamu basi ana angukia hapa kuwa hakuna mkamilifu/aliye kamilika... ilo tu linatosha...

sipingani na hoja yako... hivyo nanyi msipingane na mamlaka zenu kama hamko tayari kuingiza uelewa mpya kwa mahaba ya kile ukipendacho...

Cheers Dada yangu...!
 
Eeeeeeeh
Wataka kuhubiri fungua uzi ufanye hivyo..
Uliyoandika bado nakuambia umechemka... hata uandike mgazeti wa sijui nini.. uwe unafikiria kwanza eti eti.. eti....
 
Mwanaaiasa mashuhuri, mkwe wa rais mstaafu wa marekani na rais mtarajiwa mtemi kisandu atakuwa anachafuliwa na maasimu wake kisiasa wasiomtakia mema
 
aliandika wapi?...hayo mambo? sidhani kama kibarua chake ki salama tena dah....
Aliandika facebook maneno mazito wewe nenda facebook mtafute mtemi uone alivyojichafua. Aiseee ni aibu kuyatamka hata hapa
 
Back
Top Bottom