Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Hii kampeni itafaa sana[HASHTAG]#Freedeokisandu[/HASHTAG]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kampeni itafaa sana[HASHTAG]#Freedeokisandu[/HASHTAG]
Deo Kisandu anatakiwa kufanyiwa "psychiatric evaluation", kwa maneno yale aliyoandika,mtu unaweka shaka kwamba nimzima.
Na ili kutopata fedheha ya kwenda kumhukumu mtu mwenye matatizo ya akili, serikaliinatakiwa kumpa nafasi ya kuangaliwa na madaktari wa akili wamuangalie.
Mimi kwa kawaida ni mtu ninayepigania sana uhuru wa kujieleza, naisema sana serikali kwa kukamata watu wanaojielezea, ni mtu wa mrengo wa "libertarian", kwa hivyo, kwa kawaida huwa natetea watu wanaotumia uhuru wao wa kujieleza.
Lakini pia, nikiona dalili za matatizo ya akili naona niseme.
Wapi nimetetea?MATUSI sio Uhuru wa kujieleza,
Uhuru wa kujieleza una mipaka, mipaka take ndio hiyo iliyoleteleza akamatwe.
Mtukanaji ametumia Uhuru vibaya..... Kudhibitiwa ni sahihi.
Uhuru huo wanaouita wa kujieleza na Uhuru wa habari ulisababisha mauaji makubwa Rwanda!
Mnaotetea jipimeni Mara nyingi nyingi
hahahahahahahahah............WAHADHIRI WALIONIFUNDISHA POLITICAL SCIENCE&PUBLIC ADMINISTRATION(Sayansi ya Siasa na Uongozi wa Umma) CHUO KIKUU SEKUCo/SEKOMU-Lushoto, Tanga 2009-2012.
1.Benedict Mdabagi
2.Flowin Mgani
3.Mchg. Godfrey Walalaze(Comred)
4.Mchg. Mlyuka
5.Prof. Pluru
Kozi zote ziko ndani ya Digrii yangu ya Elimu Maalum. Pia Prof. Bahendwa ndiye aliyenipa sapoti kuanzisha jalida LA Chuo "INCLUSIVE".
Aidha kipindi chote na soma AFISA USALAMA WA TAIFA hapo Lushoto alikuwa Mzee KABUTERANA ambaye kijana wake wa kiume ni Rafiki yangu.
Deogratius Nalimi Kisandu.
walichukua taadhari kabla ya hatari... ana weza kubaka... kwa hamu aliyo nayo... inayo mkereketaHao mapolisi wanatafuta kiki kupitia Deo.. hakuna lolote baya aliloandika.. zaidi ya hamu ya mwili wake kutenda yajulikanayo.
Haya wanaanza kushindana nani anajua kukamata watumia mitandao.
tehhh unakesi yakunijbu ...Hahahahahaha yan wew[emoji23][emoji23][emoji23]watatung'ata kwa kweli
Awamu mpya ya kupimana akili. Kupimana mikojo basi.Kabla ya kumfungulia mashtaka wampeleke kwanza milembe wakampime akili, anaweza kuwa na tatizo kama la nabii Tito
Wewe mwenyewe umeshindwa kuyaandika hayo maneno hapa pamoja na kwamba uko kwenye id fakeMtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!
Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Akapimwe akili kama nabii Tito inawezekana kuna nati zimelegea
Una hakika iko kwa nia 'nzuri'?Mitandao ipo kwa nia nzuri
lakini watu wamegeuza uwanja wa kutukana,Kukashfu na Kuchochea
Labda acc yake imechukuliwa na watu wabaya
walichukua taadhari kabla ya hatari... ana weza kubaka... kwa hamu aliyo nayo... inayo mkereketa
Wewe mwenyewe umeshindwa kuyaandika hayo maneno hapa pamoja na kwamba uko kwenye id fake
Ya Mungu mengi... usimalize maneno... katika imani... tuna ambiwa akuna mkamilifu awe mzazi, mlezi, mtoto, mjomba lakini ni mwanadamu basi ana angukia hapa kuwa hakuna mkamilifu/aliye kamilika... ilo tu linatosha...Embu acha kuniandikia kitu ambacho labda wewe ndio unaweza kufikiri.. uache kabisa kumusingizia kwa upupwu kama huo.. yeye ndio mwanaume wa kwanza duniani kuwa na hiyo hamu.. pita hukoooo
Ya Mungu mengi... usimalize maneno... katika imani... tuna ambiwa akuna mkamilifu awe mzazi, mlezi, mtoto, mjomba lakini ni mwanadamu basi ana angukia hapa kuwa hakuna mkamilifu/aliye kamilika... ilo tu linatosha...
sipingani na hoja yako... hivyo nanyi msipingane na mamlaka zenu kama hamko tayari kuingiza uelewa mpya kwa mahaba ya kile ukipendacho...
Cheers Dada yangu...!
Aliandika facebook maneno mazito wewe nenda facebook mtafute mtemi uone alivyojichafua. Aiseee ni aibu kuyatamka hata hapaaliandika wapi?...hayo mambo? sidhani kama kibarua chake ki salama tena dah....