Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mimi huwa siandiki maneno zaidi ya kuandika maneno machafu.. usinipangie.. jiandikie utakavyo.. pia kule ni FB na humu ni JF.. umeshawahi kumuona anaandika hayo humu.. pita hukooooo
humu kaandika mengi tu ambayo yamepelekea watu kuona ana matatizo ya akili.... ndio maana ukiona comment baadhi za mwanzo zina onesha kuwa jinsi watu walivyo kuwa na wasiwasi nae...

kuanzia bandiko la kukosewa kwa elimu yake, ubunge, uchadema, uccm, kukosa ajira kwa hila nk... yapo mambo mengi mno... uraia, wazazi wake kufanyiwa figisu....

ndio maana watu walikuwa na wasiwasi nae...

hata kicha Pr. Tito ni lazima achukuliwe taadhari kwa usalama wake na raia wengine kutokana na kutokuwa timamu kiakili, afya ya akili haijakaa sawa.... lakini watu wana chukulia kawaida kimasiala masiala sana....

lakini ndio binadamu tulivyo umbwa kwa mfano wake...
 
Eeeeeeeh
Wataka kuhubiri fungua uzi ufanye hivyo..
Uliyoandika bado nakuambia umechemka... hata uandike mgazeti wa sijui nini.. uwe unafikiria kwanza eti eti.. eti....
Mwanaaiasa mashuhuri, mkwe wa rais mstaafu wa marekani na rais mtarajiwa mtemi kisandu atakuwa anachafuliwa na maasimu wake kisiasa wasiomtakia mema
Aliandika facebook maneno mazito wewe nenda facebook mtafute mtemi uone alivyojichafua. Aiseee ni aibu kuyatamka hata hapa
.Thank you Lord.
Ukiniquote ni.. nitajibu nikipata muda o nimekudisi o bado sijasoma.
 
humu kaandika mengi tu ambayo yamepelekea watu kuona ana matatizo ya akili.... ndio maana ukiona comment baadhi za mwanzo zina onesha kuwa jinsi watu walivyo kuwa na wasiwasi nae...

kuanzia bandiko la kukosewa kwa elimu yake, ubunge, uchadema, uccm, kukosa ajira kwa hila nk... yapo mambo mengi mno... uraia, wazazi wake kufanyiwa figisu....

ndio maana watu walikuwa na wasiwasi nae...

hata kicha Pr. Tito ni lazima achukuliwe taadhari kwa usalama wake na raia wengine kutokana na kutokuwa timamu kiakili, afya ya akili haijakaa sawa.... lakini watu wana chukulia kawaida kimasiala masiala sana....

lakini ndio binadamu tulivyo umbwa kwa mfano wake...

Nimekuuliza hayo yote!?
Unafikiri simsomi humu au..

Subiri aje na yaliyojiri.. wewe pita huko.. bora nimsome Deo
 
.Thank you Lord.
Ukiniquote ni.. nitajibu nikipata muda o nimekudisi o bado sijasoma.
Hujanisoma mkuu: nmekuambia mtemi Deogratius aliandika mitusi mizito fb mpaka aibu kuirudia hapa hivyo kama una akaunti fb mtafute kwa jina la Deogratius Nalimi Kisandu ujionee mwenywe
 
doh..mkuu tena walipomuhoji sijui ndo alikuwa kamanda akajibu " bora angekua ka kijana ka mtaani haya mambo anafanya mwalimu?" nikajua hapa ndo basi tena..

.... tena wa shule ya Serikali!!!, Jamaa wamtoe tu kwenye ualimu, kuna shida kubwa. Nimeishawahi kusema kuwa tutafute jinsi ya kumsaidia kwani kuna shida Upstairs, mimi nipo mbali sijui km ni excuse lakini ni HATARI kubwa, anayoaandika hy bwana
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi.

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.

Kwa kweli afungwe tuu kama alikuwa anatukana. Kama mwalimu anafundisha nini jamii na wanafunzi wake.
 
Kwa kweli afungwe tuu kama alikuwa anatukana. Kama mwalimu anafundisha nini jamii na wanafunzi wake.
Labda alitaka kufundisha topic ya evolution but not to that extent, fb sio mahala pake, sijui aliwaza nn.
 
Huyo jamaa hata akicheki threads zake anaonekana sio mzima sana
 
Kuna watu wanatukanana daily huko IG mbona hawakamatwi, labda wame mkamata Kwa kigezo cha kuwa mwalimu, wameona italeta shida Kwa wanafunzi wake kimaadili
Sio rahisi kukamata wahalifu wote kwenye mitandaoni hata wewe unaweza kuripoti unapoona matukio hayo.
 
Kuna watu wanatukanana daily huko IG mbona hawakamatwi, labda wame mkamata Kwa kigezo cha kuwa mwalimu, wameona italeta shida Kwa wanafunzi wake kimaadili
Kuna sehemu kaandika padre Muhammad aliacha ukatoliki kwasababu alikua anapenda wanawake akaenda kuanzisha dini yake ya uislamu sababu alishondwa kuishi maisha ya useja.. Na hapo mimi nilainisha ligha maana yeye lugha yake ni kali sasa huko OG unaona vitu kama hovi vya kuwatukana mitume wa watu huoni ni matatizo haya?
 
huko Facebook kuna wadada wanajiuza live,mbona hamuwakamati?labda mseme mmeanza fagia fagia huko facebook kwa wanaotukana,hivi ukimkuta ni kweli ana matatizo ya akili,utamfanya nini,si umepoteza muda wako ambao ungefanya mambo mengine?
Kwahiyo wasikamatwe kwa hofu ya kukutwa ni wagonjwa wa akili na kupoteza muda? You are not serious!
 
Back
Top Bottom