Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
humu kaandika mengi tu ambayo yamepelekea watu kuona ana matatizo ya akili.... ndio maana ukiona comment baadhi za mwanzo zina onesha kuwa jinsi watu walivyo kuwa na wasiwasi nae...Mimi huwa siandiki maneno zaidi ya kuandika maneno machafu.. usinipangie.. jiandikie utakavyo.. pia kule ni FB na humu ni JF.. umeshawahi kumuona anaandika hayo humu.. pita hukooooo
kuanzia bandiko la kukosewa kwa elimu yake, ubunge, uchadema, uccm, kukosa ajira kwa hila nk... yapo mambo mengi mno... uraia, wazazi wake kufanyiwa figisu....
ndio maana watu walikuwa na wasiwasi nae...
hata kicha Pr. Tito ni lazima achukuliwe taadhari kwa usalama wake na raia wengine kutokana na kutokuwa timamu kiakili, afya ya akili haijakaa sawa.... lakini watu wana chukulia kawaida kimasiala masiala sana....
lakini ndio binadamu tulivyo umbwa kwa mfano wake...