Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Kaandika mambo gani? au ukiyarudia nawe unawekwa mikononi mwa polisi.
Post mfululizo kama 10 ni pumba tu nenda kwenye page yake ya fb utaona mara cdf anamtomba mke wa rais mara rais ndio anamtomba mke wa cdf mara nataka nitombe upuuzi upuuzi tu posts zake mara akashifu imani ya watu kwa matusi nk
 
Deo karapu huko fb ile mbayaaa...matusi yake ni level za akina Snoopy Dog Doggy na Eminem

Mange Kimimba hamfikii ni cha mdoli...au mwanafunzi

Kawachana wakatolik,na watawala, hajawaogopa katema mbovu

kwa waislam kakufuru...laiti angekuwa Zenj au Kenya wale Alshababy wangepita naye kweupe pwee..
 
Niliwahi kusema huyu jamaa ana matatizo sana ya afya ya akili.

anaandika kama anakumbuka utotoni na ujanani mwake.

sasa shauri lake amekumbuka matusi basi pole yake.

ILA apimwe kwanza akili yake kama ipo sawa.
 
Vyuma vinaleta balaa. Kaanza Dr Shika kafuata Nabii Tito leo Mami Kisandu siku si nyingi Mange naye tutasikia kaanzisha kanisa lake Marekani.
 
Nasikia Kenya wanaassemble magari na wamezindua satellites yao. Wakati hayo yanatokea sisi watz tunashughulika na watu wanaoandika matusi pamoja na wakina nabii Tito! Wao wanapambana kutafuta njia za kujikwamua kiuchumi sisi tunapambana kuwafunga watu midomo wasiseme. Anyways tutafika tu bhana!
 
yeahhh hapo Nazi ndio basi tena labda ifahamike tu kuwa Jamaa kaweuka..ikitokea akapatiwa matibabu nakupona huwenda atarejeshwa kazini..kwa sbabu hzikuwa akili zake timamu
NAZI zmetoka wapi tena
 
Nasikia Kenya wanaassemble magari na wamezindua satellites yao. Wakati hayo yanatokea sisi watz tunashughulika na watu wanaoandika matusi pamoja na wakina nabii Tito! Wao wanapambana kutafuta njia za kujikwamua kiuchumi sisi tunapambana kuwafunga watu midomo wasiseme. Anyways tutafika tu bhana!
Ni wao na jua kwamba hatuwez kuacha upuuzi iendelee kwa mwamvuli wa maendeleo aj democracy
 
Deo karapu huko fb ile mbayaaa...matusi yake ni level za akina Snoopy Dog Doggy na Eminem

Mange Kimimba hamfikii ni cha mdoli...au mwanafunzi

Kawachana wakatolik,na watawala, hajawaogopa katema mbovu

kwa waislam kakufuru...laiti angekuwa Zenj au Kenya wale Alshababy wangepita naye kweupe pwee..
Hahahah
 
Hahaha kisandu huwa anajitukana yeye sasa watamshitaki kwa kosa gani.
Hahaha kisandu anauwezo wa kijikataa kwamba yeye siye. Hahaha wameamua kushughulika na vichaa lakini kuna mmoja huyo haguswi.
 
Hahaha kisandu huwa anajitukana yeye sasa watamshitaki kwa kosa gani.
Hahaha kisandu anauwezo wa kijikataa kwamba yeye siye. Hahaha wameamua kushughulika na vichaa lakini kuna mmoja huyo haguswi.
IMG-20180125-WA0071.jpg
 
Kumbe ni mwalimu!!
Mi' nilifikiri labda ni kiongozi flani hivi!
Ni mwalimu wa somo gani?
 
Hahahaha...eti ameandika Matusi kwa wiki nzima, as if kuandika kwa wiki nzima mfululizo kunaongeza uzito wa kesi kama vile kumbaka mtoto wa wiki nzima mfululizo.

Viwanda.
Siku hizi uchochezi ni kosa kubwa kuliko kubaka ...............!!
 
Back
Top Bottom