kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,317
- 4,118
Tushawachoka sasa,kwanini wasipange siku maalum wakahama wote?Aliyekuwa diwani wa kata ya Kabila wilayani Magu mkoa wa Mwanza, Ndugu Edward James Kihamba amejiuzulu udiwani na nafasi zote ndani ya chama na kujiunga na chama cha mapinduzi ccm.
Taifa ndipo lilipofikia.
Mbona walishaambiwa waondoke wote wanaotaka kuondoka?wanasubiri Nini?Aliyekuwa diwani wa kata ya Kabila wilayani Magu mkoa wa Mwanza, Ndugu Edward James Kihamba amejiuzulu udiwani na nafasi zote ndani ya chama na kujiunga na chama cha mapinduzi ccm.
Taifa ndipo lilipofikia.
Kamanda demokrasia ambayo huwa mnaililia kila leo ndio hii... demokrasia ni pamoja na kuchagua chama cha kushare nacho mawazo yake....Haya yote yanatokea sababu ya ujinga wa Watanzania na viongozi wake
Hapana kamanda hiyo itakuwa ni kinyume na demokrasia tunayo ihubiri...tusiwapangie muda wa kuondoka acha demokrasia ichukue mkondo...Mie naona serikali itangaze kuwa wale wote wanaotaka kuhama vyama vyao wajiandae na itangazwe siku maalum ya kuhama vyama na kusiwe na uchaguzi ili kuepuka gharama na mzigo kwa wananchi basi warudishwe kwenye nyadhifa zao wakiwa na vyama vipya! Na itangazwe marufuku ya kuhama ukiwa ni mwakilishi wa wananchi katika ngazi yeyote ile baada ya zoezi hilo!!!
Ni mtazamo tu
Tuna safari ndefu sanaHaya yote yanatokea sababu ya ujinga wa Watanzania na viongozi wake
Mkuu Ruta, asante kwa mchango wako ila najaribu kuangalia gharama na mzigo kwa wananchi, uchaguzi usoisha una tija ipi kwa Taifa? Ukizingatia bado miaka 2 tuingie kwenye uchanguzi mkuu?Hapana kamanda hiyo itakuwa ni kinyume na demokrasia tunayo ihubiri...tusiwapangie muda wa kuondoka acha demokrasia ichukue mkondo...
Wazungu kutuita many...ni huwa hawakosei.Msamehe bure tu huyo.Mkuu Ruta, asante kwa mchango wako ila najaribu kuangalia gharama na mzigo kwa wananchi, uchaguzi usoisha una tija ipi kwa Taifa? Ukizingatia bado miaka 2 tuingie kwenye uchanguzi mkuu?
Sasa hutaki diwani atumie haki yake ya kikatiba?Wazungu kutuita many...ni huwa hawakosei.Msamehe bure tu huyo.
KwakweliBora Chadema waanze upya na watu wenye Fikra Mpya
Chadema hawasikitiki kuondoka wa madiwani na wabunge,chadema inawaonea huruma wananchi wanazama kwenye kivuko kibovu,huku pesa zao zikichezewa kwenye chaguziKamanda demokrasia ambayo huwa mnaililia kila leo ndio hii... demokrasia ni pamoja na kuchagua chama cha kushare nacho mawazo yake....
Kama deokrasia ni ujinga basi hata Lowasa alifanya huu ujinga hahahahaha
Amenunuliwa hahaha
Kwahiyo mnashangilia kupokea wanaotoka kwenye saccos??Hahahahaha saccos ya mbowe kwisha habari yake