Mwanza: Diwani wa kata ya Kabila (CHADEMA) ajiuzulu udiwani na kuhamia CCM

Mwanza: Diwani wa kata ya Kabila (CHADEMA) ajiuzulu udiwani na kuhamia CCM

Mie naona serikali itangaze kuwa wale wote wanaotaka kuhama vyama vyao wajiandae na itangazwe siku maalum ya kuhama vyama na kusiwe na uchaguzi ili kuepuka gharama na mzigo kwa wananchi basi warudishwe kwenye nyadhifa zao wakiwa na vyama vipya! Na itangazwe marufuku ya kuhama ukiwa ni mwakilishi wa wananchi katika ngazi yeyote ile baada ya zoezi hilo!!!
Ni mtazamo tu
Sawa tumekusikia. lakin mtazamo wako ni kinyume na katiba na unadidimiza demokrasia.
 
Sawa tumekusikia. lakin mtazamo wako ni kinyume na katiba na unadidimiza demokrasia.
Kugawa gasi yetu kwa wazungu,sheria kali za mitandao na mambo mengine yanapelekwa bungeni kwa hati ya dharura,ila mambo ya msingi ambayo tunahitaji kujikomboa nayo sisi ndio kwanza tunaita "kuunga mkono juhudi", huku tukihasisha wengine wengi wafanye hivyo kabla ya usajili kufungwa!
Shame!
 
Nadhani ungemshauri mbunge wako apeleke ajenda ya kubadili sheria ya uchaguzi (kwa dharula) ili mtu akijiuzuru tusipoteze pesa kufanya uchaguzi. apewe uongozi yule aliyekuwa wa pili. otherwise, tutaendelea kufanya tu uchaguzi mpaka sheria itakapobadilika.
 
Dah....mnatumia akili nyingiii...wakati ishu yenyewe ni simpo sana....siasa ni kama fani nyingine tuu...ni banker mjinga tu atakaye endelea kubaki kwenye benki inayoonyesha dalili zote za kufilisika [emoji13] [emoji13]
 
Hapa ndipo tulipofikia kama Taifa!Nchi inaendelea kupotezwa dira na mwelekeo na mtu mmoya anayejiona kama ni mungumtu we Tanzania.....!!!!
 
Back
Top Bottom