JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,403
- 11,912
Asee . Udikiteta wa kiwango cha lami. Vumilia tu ni upepo uatapita.Mie naona serikali itangaze kuwa wale wote wanaotaka kuhama vyama vyao wajiandae na itangazwe siku maalum ya kuhama vyama na kusiwe na uchaguzi ili kuepuka gharama na mzigo kwa wananchi basi warudishwe kwenye nyadhifa zao wakiwa na vyama vipya! Na itangazwe marufuku ya kuhama ukiwa ni mwakilishi wa wananchi katika ngazi yeyote ile baada ya zoezi hilo!!!
Ni mtazamo tu