Mwanza: Diwani wa kata ya Kabila (CHADEMA) ajiuzulu udiwani na kuhamia CCM

Asee . Udikiteta wa kiwango cha lami. Vumilia tu ni upepo uatapita.
 
Mazuzu wanajua chadema ndio inapata hasara,hasara wanapata watanzania kwenye Kodi zao,ndio maana Deni la taifa na umasikini unaongezeka
 
Deni la taifa linaongeze,umasikiini unaongezeka zuzu unashangilia diwani,na mbunge kwenda kuongeza umasikini kwenye jamii kwa akili ndogo eti chadema inapata hasara?
 
Chadema hawasikitiki kuondoka wa madiwani na wabunge,chadema inawaonea huruma wananchi wanazama kwenye kivuko kibovu,huku pesa zao zikichezewa kwenye chaguzi

Kwani unafikiri huyo mpumbavu haelewi.!!!! Anyhow msamehe bure
 

NEC imeshatangaza mwisho wa mnada mkuu, bofya hii link

Wanaojiuzulu ubunge mwisho Julai 2019, NEC yatoa tahadhari - JamiiForums
 
BTW am in Mwanza now ningemjua huyo diwani walahi ningemuuliza wkt anagombea kupita Chadema hakutambua kama CCM ipo?
 
Hapana kamanda hiyo itakuwa ni kinyume na demokrasia tunayo ihubiri...tusiwapangie muda wa kuondoka acha demokrasia ichukue mkondo...
Mikutano ya siasa vipi?Uhuru wa kujieleza vipi?Vp haya masheria ya takwimu kuminya uhuru wa kukosoa?

Hahahaaaaa,dirisha la usajili linakaribia ukomo,wafanye hima waondoke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…