Mradi wa mwenezi kupata 10% umekamilika hadi 2020 atakuwa Billgate mdogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha saccos ya mbowe kwisha habari yake
Ali mradi kanuni zinaruhusu hata zingetumika bilioni moja ni poa tuU
Unashangilia nini labda?Mil200 kutumika kumrudisha mtu huyo huyo ila akiwa kwenye shati la kijani?
Whatever.Bad for you!
Sawa tumekusikia. lakin mtazamo wako ni kinyume na katiba na unadidimiza demokrasia.Mie naona serikali itangaze kuwa wale wote wanaotaka kuhama vyama vyao wajiandae na itangazwe siku maalum ya kuhama vyama na kusiwe na uchaguzi ili kuepuka gharama na mzigo kwa wananchi basi warudishwe kwenye nyadhifa zao wakiwa na vyama vipya! Na itangazwe marufuku ya kuhama ukiwa ni mwakilishi wa wananchi katika ngazi yeyote ile baada ya zoezi hilo!!!
Ni mtazamo tu
Napata picha 2020 50% ya Watanzania kuvaa viraka, na hapo ndio tutajisifia vizuri kuwa ni wazalendoKichaa atatuacha hoi bin taabani!!
Sawa sawa,una akili sana mkuu!Ali mradi kanuni zinaruhusu hata zingetumika bilioni moja ni poa tu
Kugawa gasi yetu kwa wazungu,sheria kali za mitandao na mambo mengine yanapelekwa bungeni kwa hati ya dharura,ila mambo ya msingi ambayo tunahitaji kujikomboa nayo sisi ndio kwanza tunaita "kuunga mkono juhudi", huku tukihasisha wengine wengi wafanye hivyo kabla ya usajili kufungwa!Sawa tumekusikia. lakin mtazamo wako ni kinyume na katiba na unadidimiza demokrasia.
Nadhani ungemshauri mbunge wako apeleke ajenda ya kubadili sheria ya uchaguzi (kwa dharula) ili mtu akijiuzuru tusipoteze pesa kufanya uchaguzi. apewe uongozi yule aliyekuwa wa pili. otherwise, tutaendelea kufanya tu uchaguzi mpaka sheria itakapobadilika.Kugawa gasi yetu kwa wazungu,sheria kali za mitandao na mambo mengine yanapelekwa bungeni kwa hati ya dharura,ila mambo ya msingi ambayo tunahitaji kujikomboa nayo sisi ndio kwanza tunaita "kuunga mkono juhudi", huku tukihasisha wengine wengi wafanye hivyo kabla ya usajili kufungwa!
Shame!
Naendelea tuu kuusisitiza huu wito wangu, Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForumsAliyekuwa diwani wa kata ya Kabila wilayani Magu mkoa wa Mwanza, Ndugu Edward James Kihamba amejiuzulu udiwani na nafasi zote ndani ya chama na kujiunga na chama cha mapinduzi ccm.
Taifa ndipo lilipofikia.