Mwanza: Familia yazika mtoto wa kike akiwa hai ili wapate utajiri

Kuna jamaa humu jf kaweka uzi wake wa kugawa utajiri kwa mwanamke atakaemzalia.

Bahati mbaya wanawake wajuaji wa jf wengi wanakataa kwa dhihaka kabisa.
Siku ya siku tusikie tena mtu anaua mtoto wakati wanunuaji wapo.

Kwakweli hao wakibainika wapigwe nyundo za kutosha.
 
Ila hawa ndugu zetu jamani.Sote ni washirikina ila ukanda huo wamezidi. Wao hawaagizwi kuku wala njiwa mwenye matege, wao ni kudedisha binadamu tu. Duh!
 
Wasichana wazuri asilimia 99% wako radhi mwanaume wao aue ili awe na mali.
Hizi roho za tamaa ya mali ni za kishetani sana.
Naamini 99% ya wanawake wazuri wanamtii sana ibilisi hata kama wako makanisani wakilia kinafiki,kwa sababu ya tamaa ya mali
Mwanaume anaweza kufanya chochote ili wapate akipendacho binti.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mbona asilimia kubwa sana😲😲
 
Wengi mnaamini ushirikina na haya ndio matokeo
Mtu anakataa kabisa eti hakuna utajiri bila uchawi
Sasa kwa upumbavu huu siwashangai na humu wamejaa na wanafanya zaidi ya haya ninavyoamini kwa comments za wengi kuhusu utajiri

Wapo wa kubisha ila ukweli % kubwa sana inaamini huu ujinga
 
Si Bora angechukua kibegi Kwa wakinga
 
Kanda ya ziwa mjitathmini.
Matukio yenu yanawafanya muonekane Watu wa ajabu.
Mnawaharibia wenzenu ambao tunawajua wanatabia nzuri
Matukio haya yapo maeneo mengi tu nchini na Africa kwa ujumla, hapa nchini tunasikia mengi karibu kila ukanda na mikoa yake, ni mTanzania gani asiyesikia mauaji,ubakaji na mambo mabaya mengi tu kutoka mikoani kote,na si tu Lake Zone
 
Matukio haya yapo maeneo mengi tu nchini na Africa kwa ujumla, hapa nchini tunasikia mengi karibu kila ukanda na mikoa yake, ni mTanzania gani asiyesikia mauaji,ubakaji na mambo mabaya mengi tu kutoka mikoani kote,na si tu Lake Zone

Lake zone ndio vinara.
Wamezidisha mambo ya ajabuajabu.

Hauwezi pita siku mbili bila tukio lolote la kikatili au ushirikina kutangazwa.

Lake zone ikiwania World up inabeba bila ushindani wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…