Mwanza: Familia yazika mtoto wa kike akiwa hai ili wapate utajiri

Mwanza: Familia yazika mtoto wa kike akiwa hai ili wapate utajiri

Hiyo familia ipewe muda, tunataka tuone huo utajiri la sivyo iteketezwe kwa moto.
 
Lake zone ndio vinara.
Wamezidisha mambo ya ajabuajabu.

Hauwezi pita siku mbili bila tukio lolote la kikatili au ushirikina kutangazwa.

Lake zone ikiwania World up inabeba bila ushindani wowote.
Kanda ya ziwa ni vile kuna reporters wengi, huko kwingine pia mambo ni moto sema no reports.

Ka-Tz ketu kwa mujibu wa takwimu kanashika nafasi za juu sana kwa kuamini MIUJIZA.
 
Kiwango cha uprimitive ni kikubwa sana katika nchi hii...

Watu hawa ndio mwisho wa siku pia huwa wanapiga kura kuchagua wabunge na Rais.
 
Ivi watu wa uko mwanza mutaendelea lini? Kila siku matukio hayaishi uko kwenu..mara kunya ziwani, mara kuua albino, leo tena munaua watoto wenu ili mupate utajiri!? Kweli nyie wasukuma muna laana ya asili..ndio maana mwendazake Mungu alimchukua mapema. Pumbavu kabisa mutaendelea kuwa masikini mpaka mwisho
 
Kuna jamaa humu jf kaweka uzi wake wa kugawa utajiri kwa mwanamke atakaemzalia.

Bahati mbaya wanawake wajuaji wa jf wengi wanakataa kwa dhihaka kabisa.
Siku ya siku tusikie tena mtu anaua mtoto wakati wanunuaji wapo.

Kwakweli hao wakibainika wapigwe nyundo za kutosha.

Unatamani ungekuwa mwanamke mwenyewe hapo, ukamzalie jamaa upate utajiri, hali ni ngumu jamani
 
Kanda ya ziwa ni vile kuna reporters wengi, huko kwingine pia mambo ni moto sema no reports.

Ka-Tz ketu kwa mujibu wa takwimu kanashika nafasi za juu sana kwa kuamini MIUJIZA.

Kwenye Ulimwengu huu wa smartphone useme hakuna Reporters?

Kanda ya ziwa hata ripoti za takwimu ilitolewa kuwa ndio inayoongoza Kwa matukio ya kikatili
 
We mchagga acha habari zako,huko kaskazini so ndo wanaongoza kwa mauaji iliwapate pesa, watoto kuwainukia wazazi wao huko ni kawaida

Hizo ni habari za vijiweni.

Mwezi huu wa 12 ni taarifa gani umeisikia ikitokea Huko Kaskazin?

Lakini Kanda ya ziwa ni kila BAADA YA siku mbili lazima litokee tukio iwe ni Mwanza, Geita
Ushahidi upo humuhumu Jamvini.

Wewe kama unaushahidi hata mmoja wa tukio lililotokea mwezi huu Huko Kaskazin litaje hapa.
Alafu Mimi nitakutajia matukio Zaidi ya 10 yaliyotokea kanda ya ziwa
 
Kanda ya ziwa ni vile kuna reporters wengi, huko kwingine pia mambo ni moto sema no reports.

Ka-Tz ketu kwa mujibu wa takwimu kanashika nafasi za juu sana kwa kuamini MIUJIZA.
Ni kweli kabisa, [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Acha uongo, mkuu, hebu tupe takwimu

Sasa utabishana n Ukweli.
Fuatilia habari kila siku utaujua ukweli.

Kila BAADA YA siku mbili lazima tukio la ajabu na kikatili liripotiwe kanda ya ziwa,
Wakati kanda zingine inaweza pita hata mwezi.

Leo Tarehe 29/12/2022 hauwezi kufika Tarehe 31/12/2022 bila kusikia tukio la ajabu na kikatili likiripotiwa Huko kanda ya ziwa.
Zizungumzi ili kuwakandia ila huo ndio ukweli.

Soma hapa👉👉Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaongoza kwa matukio ya ukatili wa wenza
Z
 
Utajiri na nguvu za giza ni hiviiiiiiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HV kweli cocastic Kuna Cha kuchekesha hapa au unaona sawa mtot huyo kuzikwa akiwa hai

Mm hapa nimesoma tu Ila tumbo limenikata mbaya SAS wew unachekaa
Acha ushenzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sitachoka kusema, imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia
 
Kwenye Ulimwengu huu wa smartphone useme hakuna Reporters?

Kanda ya ziwa hata ripoti za takwimu ilitolewa kuwa ndio inayoongoza Kwa matukio ya kikatili
Sawa inaongoza lakini ili uongoze si lazima kuwe na unaowaongoza?

Okay, inafuatiwa na? Je, kuna kanda haipo kwenye haya mashindano?

Tz unyama ni mwingi.

Na kwakweli sehemu kubwa ya mfumo wa elimu yetu isingekuwa hii ya Physics na Chemistry (hii wangesoma wachache tu)

Wengi wetu huku vijijini tungejifunza zaidi namna ya kukabiliana na imani potofu.
 
Back
Top Bottom