Mwanza ferries vs Kenya ferries

Mwanza ferries vs Kenya ferries

Kisumu or Kenya in general doesn't need many ferries around the lake, our segment ni ndogo sana ukilingamisha na upande wa Tz n Ug. Areas served by ferry aren't that busy! Islands mingi ni za fishermen so why prioritize kwa ferry?., Geza Ulole do you critically think before typing?., ul

Sent using Jamii Forums mobile app
MOTOCHINI ndo maana yake angalia hapa mmojawapo aki-admit!
 
update Mwanza slipway construction n Mv Vctoria rehabilitation n Mv Mwanza Hapa kazi tu construction

 
Capture.PNG
 
Kwa sasa kwenye ziwa Victoria meli ya Mv Nyakibalya ndio meli kubwa ya mzigo ina uwezo wa kubeba tani 1500.
ohk! good to know will the vessel retain the position after Mv Victoria start to operate?
 
Hiyo meli inabeba sukari kutoka Bukoba kwenda Mwanza, huwa zinakodiwa kubeba mitambo ya migodini Musoma-Kisumu.
 
Meli nyingi zinazofanya kazi ziwa Victoria zimetoka Tanzania.

Port Bell -Mwanza kuna Mv Upendo, Mnanka

Kisumu-Jinja kuna Mv Mnanka na Mv Orion

Jinja-Kalangala kuna My Mnanka na Mv Allez

Mwanza-Kisumu hapa meli nyingi zinatoka mwanza kwenda kubeba mizigo.

Kisumu port kuna meli inaitwa Mv Morris(jina sikumbuki vizuri) hii ndio ilikuwa inakuja Bukoba na Mwanza ila ni mbovu kila ikija Tanzania lazima ikamatwe ilikuwa unseaworthness hata kama hauna ujuzi lazima uogope.

Kuna meli ndogo ya abiria ilikuwa Mwanza inaitwa Mv Kipepeo imenunuliwa kisumu imeishia kuzungukwa na magugu pale Kisumu port.
 
Kwenye taarifa ya habari ya Leo wametangaza Mv Victoria itaanza kazi mwezi wa 4.
Marekebisho yamefikia asilimia 94.
 
Mkuu mnapofanya ulinganishaji wa Kisumu port na Mwanza port sioni uwiano sahihi.

Technical tukilinganisha kwa kuangalia hivi vigezo utaona tofauti kubwa sana

1.Volume of cargo and passenger handled
Mwanza port inahudumia kiasi kikubwa cha meli na mizigo tani nyingi kuzidi Kisumu

2. Port facilities
Mwanza port kuna Tug ship kwa ajili ya msaada wa kuvuta au kusukuma meli iwapo bandarini, kuna crane na winch za kukodi, maji,umeme.
Kisumu port kuna huduma za maji,umeme hakuna winch wala crane pia tug boat na kuna magugu ukienda na meli haina nguvu utapata tabu magugu yakikwama.

3. Implentation of Security

Mwanza port inatekeleza International Ship and Port Facility Security (ISPS Code) kwa level one nikimaanisha kuingia utakaguliwa, utapewa kitambulisho, CCTV na mawasiliano ya radio. Ila kisumu pale security ipo kawaida Sana mgeni akiingia hapewi hata kitambulisho kujua ni visitors au workers.

4. Safety

Mwanza kiwango cha safety ni kikubwa kwa mizigo, wafanyakazi na wabeba mzigo.
Kisumu port pembezoni kuna kichaka cha magugu na kuna viboko huwa wanatoka ziwani, walinzi wanakupa tahadhari usiku usitembee.

Mnapolinganisha Kisumu labda mchague Mwanza South Port au Mwanza Northern Port.
 
Back
Top Bottom