GE2025 Mwanza haikuwa na Hospitali ya Rufaa ya Serikali kabla ya Rais Samia kutoa TZS25bn

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Investigation Unit

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
394
Reaction score
403
1754281784920.png

Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn

Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya TZS63.2bn ndani ya miaka minne ya utawala wake kwa ajili ya kujenga na kuboresha miundo mbinu ya afya kama ifuatavyo, Ukarabati wa hospitali za Wilaya ya Nyamagana, Magu na Ukerewe kwa gharama ya TZS5.1bn,

Hata hivyo TZS9.87bn zimetumika kuboresha huduma ya hospitali ya Bugando kwa kuweka mtambo wa oksjeni, ukarabati wa ICU, jengo la saratani na wodi ya macho na huduma nyinginezo,TZS25.03bn zimetumika katika kujenga Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza, Kazi iliyobaki kwa wanchi wa mkoa wa Mwanza ni kulinda rasilimali hizi hata hivyo Rais Samia ameongeza wataalamu wa afya kutoka 2,855 mwaka 2020 hadi 4,150 mwaka 2025, sawa na ongezeko la wataalamu wapya 1,295 hata Nyumba za watumishi nazo zimeongezeka kutoka 355 mwaka 2020 hadi 436 mwaka 2025 chini ya Rais Samia.
 
Akili mmeziweka rehani wapi? Huyu Samia The Killer ametoa hela kutoka wapi?
 
Mzee nahisi wewe sio Mtu wq Afyaz Au Pengine ni chawa wa Mama na Chama pia

Mwanza ina Sekoutoure RRH toka wewe hujazaliwa kama RRH

Mwanza ina Bugando MC kama ZRH nayo hujazaliwa

Mabadiriko makubwa ndani ya BMC yamefanywa na Mkurugenzi Makubi (Kwasasa yupo BMH) ukarabati hadi kuanzia Baadhi ya huduma kama Saratani, uzaiishaji wa Tiba Hewa, Na Majitiba!!

Awamu hii inapenda sana kusifiwa kwa vitu walivyofanya awamu iliyopita

Sehemu Pekee hii awamu imejitahidi sana na naipongeza ni kukamlisha Ujenzi wa hospitali Baadhi na kuweka rasilomali watu Pekee, Nashangaa hadi Bungeni tunadanganywq mara Kafunga CT scan RRH zote kabla zilikuwepo sijui 6 tu nchi nzima hizi ni Fikisi
 
Kwa ambao hawataelewa:

RRH - Regional Referral Hospital
BMC - Bugando Medical Center
ZRH - Zonal Referral Hospital
BMH - Benjamin Mkapa Hospital
MC - Medical Center
 
Back
Top Bottom