KERO Mwanza: Hatuna Maji katika kata za Isamilo na Kiloleli

KERO Mwanza: Hatuna Maji katika kata za Isamilo na Kiloleli

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka hivo lakini watu wanaumia kwa sababu hapo ni mjini hakuna chanzo mbadala cha maji. Mlipuko wa magonjwa unaweza kutokea sababu maji tunayotumia sio safi na sio salama
 
Back
Top Bottom