Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

NAHUJA Ushamuharibia ndugu yangu Mbisse biashara.

Kama vipi hamia hapo nolin au asborne ...kwa style hii kwa msukuma ntakuwa napiga zangu 2,3 nasepa.
Sasa kama unakaa Buswelu ina maana hii skendo ya white Mbise hukuipata? halafu yeye mwenyewe alivyo akipita watu wakianza kumrushia maneno anacheka kidogo halafu anapita kimya kimya.
 
Mbise hana adabu kabisa
hahahah, halafu akipita watu wakimrushia maneno, anajidai kucheka cheka tu hasemi neno. Na hiyo sehemu watu walikuwa wanajaa sana, hasa siku ya Jumapili kwa kuwa ni uelekeo wa Kanisa Katoliki, hivyo waamini wengi wakitaoka church wanapaki magari yao, wao na familia zao wanastua supu. hahahah.
 
Yan Dar ndo hatari watu wanakula umbwa hatari sana.
Arusha tu nyama naziogopa labda kisongo na kwa morombo atleast nyama zinaeleweka
Na huyu Mbise ni kabila la Mmeru, katokea Arusha, itakuwa hii tabia katoka nayo Arusha😕😕
 
USHAURI WANGU!
Ukifika mwanza usiagize nyama ya mbuzi, agiza supu ya sato, nyama ya ng'ombe basi. hata nyama ya kuku usipendelee sana kama sio hotel marufu kwani kuna ndege maarufu pale wanaitwa "bwana Afya" ukijichaganya wanakupakulia. Kuwa makini na akina ngosha!
 
Back
Top Bottom