Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Teh Teh Teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawauzie wachina..hao wanakula mpaka pundaYaani mkuu wamenifanya hata sitamani kabisa nyama. Ila ni dhambi kwa Mungu kuwalisha watu chakula ambacho sio halali kwao😕😕
Sasa kama unakaa Buswelu ina maana hii skendo ya white Mbise hukuipata? halafu yeye mwenyewe alivyo akipita watu wakianza kumrushia maneno anacheka kidogo halafu anapita kimya kimya.NAHUJA Ushamuharibia ndugu yangu Mbisse biashara.
Kama vipi hamia hapo nolin au asborne ...kwa style hii kwa msukuma ntakuwa napiga zangu 2,3 nasepa.
du!mkuu kama haujadhurika we endelea tu kutafuna dogi sio sumu wala nn
Na kuna kambi ya wachina wajenga barabara imefunguliwa mitaa hiyo hiyo!!!!Wawauzie wachina..hao wanakula mpaka punda
mmmh!!!!SITI ZA KATIKATI inawezekana wengi wamekula dog bila kujijua #supu ya mbwa na chapati haitaacha mtu salama
jamani!!!!Dodoma ukijichanganya unakula ya punda.
tehe tehe teheNi bora ule ukijua unakula nini, angalau wewe unapenda na unajua kuwa sasa unakula mbwa
Kha!!!"Tamu ya wali ni nazi, raha ya supu mandazi"
Chapa supu hiyo dada, au hana ndimu?
aiseee!!!!Watu wa Iringa wanakuona mshamba tu
hahahah, halafu akipita watu wakimrushia maneno, anajidai kucheka cheka tu hasemi neno. Na hiyo sehemu watu walikuwa wanajaa sana, hasa siku ya Jumapili kwa kuwa ni uelekeo wa Kanisa Katoliki, hivyo waamini wengi wakitaoka church wanapaki magari yao, wao na familia zao wanastua supu. hahahah.Mbise hana adabu kabisa
Makubwa ya Buswelu hayo🙂Makubwa
Na huyu Mbise ni kabila la Mmeru, katokea Arusha, itakuwa hii tabia katoka nayo Arusha😕😕Yan Dar ndo hatari watu wanakula umbwa hatari sana.
Arusha tu nyama naziogopa labda kisongo na kwa morombo atleast nyama zinaeleweka
sawaSipendi hii tabia..
Sawa weee cheka wakati wenzio wamelishwa hiyo kitu, hahahahTeh Teh Teh