Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake!
Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa kimataifa!
Yeye anakuja na maelekezo yake!
Kikubwa atambue kuwa MWANZA ni mji unaokuwa kwa kasi na unahitaji unanuzi wa miradi ya maji,barabara, usafiri wa anga na kadharika!
Kitendo cha kuleta ujuaji na kelele nyingi badala ya vitendo vitatupotezea mda wanamwanza!
Tunaomba mkuu wa mkoa alete jitihada zinazoleta utofauti wa mkuu wa mkoa aliyekuwepo na aliyepita badala ya kuendekeza siasa!
Pili! Miradi mingi kaikuta kama stendi nyamhongolo,nyegezi na ujenzi wa soko kuu lamini mwendelezo wake si wakuridhisha
Tatu! MWANZA ina uhaba mkubwa sana wa maji ambao unasababishwa na urasimu wa watendaji pamoja na Waziri AWESO kuwa na maneno mengi sana kuliko vitendo pia ubovu wa barabara!