MWANZA: Hivi RC Adam Malima kaletwa kwa kuwa ana uwezo au mkakati tu wa kisiasa?

MWANZA: Hivi RC Adam Malima kaletwa kwa kuwa ana uwezo au mkakati tu wa kisiasa?

Kikwete mkweli Sana anajisemeaga kwamba Hana Cha kujivunia Mana kilakitu alitengenezewa na babu yake na akina nyerere

Huyu malima baba ake ndo anamfanya awe anazurula ofisni za umma

Mzee malima huko aliko alale salama japokua mwanae hajaribu kufanya Kama yeye alivofanya ndani taifa hili
 
Back
Top Bottom