Uchaguzi 2020 Mwanza Huduma adaiwa kumwaga pesa kama Njugu Bunda Mjini akisindikizwa na Viongozi wa CCM Wilaya

Uchaguzi 2020 Mwanza Huduma adaiwa kumwaga pesa kama Njugu Bunda Mjini akisindikizwa na Viongozi wa CCM Wilaya

Kwa dhiki mlizo nazo lazima mchukue rushwa
Sasa nan wa kukataa Pesa na wewe....yaan mi nipewe laki moja niikatae et nalinda kura ya Ester Bulaya huo ujinga siwezi

In God we Trust
 
Wacha wale hizo hela si za watanzania wanyonge Kira watafuta kwakupigia
 
Bila kuiondoa CCM kamwe tusitegemee kujikomboa kutoka kwenye umasikini.

In God we Trust
 
Mkuu Pascal wewe safari hii umetia nia jimbo gani?@Pascal Mayalla,

In God we Trust
 
Pascal Mayalla,
Free speech ya kuikubali rushwa,hatuna hakika kama nikweli lkn haturidhii watoa rushwa!! We ukipigwa hela umpambe hiyo muhindi kwenye maandiko yako utapokea? Acha kuweka mbele mayala (njaa)
 
chuki,
Ilitakiwa uweke picha au video clip. Maana chama chao kilitoa katazo la watu kutangaza nia mapema. Na ilisemekana atakayefanya hivyo anakuwa amejiengua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom