Mi nadhani hizi rushwa za uchaguzi ziachiwe tu,tule hela zao tule na kura watapigiwa wengine
Hicho nikiwewe! Mtafutieni cheyo kingine huyo kunguni wenu hapo bunda.
Sasa nan wa kukataa Pesa na wewe....yaan mi nipewe laki moja niikatae et nalinda kura ya Ester Bulaya huo ujinga siwezi
Matusi na uchawi ndio nguzo kuu ya masikini
Umasikini ni laana
Naamni TAKUKURU wamo humu watakua wameona uzi huu wa kizarendobna wataufanyia kazi na tutapata mrejesho
Hutaweza maana rushwa ccm ndo nyumban.
KATIKA KUJIPANGA KWAKO, FROM NOW ONWARDS PIMA VIZURI MANENO YAKO, KABLA HUJAYAANDIKA, YATAKUJA KUKUSAKAMA NA KUKUKOMOA.
HAPA CHINI IS AN EXAMPLE OF A VERY POOR COMMENT, IT SHOWS YOU CONDON CORRUPTION AND A GREAT SUPPORTER OF IT.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamlindiaje kura MTU anayelipwa wakati Wewe unalala njaa? Kamanda achs hizo
Mm binafsi siwez kupigia kura Yangu ccm na pia siwezi kukataa Hela.