Uchaguzi 2020 Mwanza Huduma adaiwa kumwaga pesa kama Njugu Bunda Mjini akisindikizwa na Viongozi wa CCM Wilaya

Habari bila picha hainogi. Halafu hela ni za kwake kwann tuone ni ubaya? Acheni azigawe maana hata mwenye nchi alishagawa sana fedha hadharani tena nyingi sana. Tuwe wapole tu ukimuona mtu anamwaga hela ujue anazo za ziada anasambaza uchumi mzuri kwa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabendera karma inazidi kukutafuna na utavurugwa saaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo sio geni kwa CCM. Kipindi cha siasa za kistaarabu za vyama vingi hangetubutu kufanya hivyo maana chama kisingempitisha kwenda kushindana na mgombea wa upinzani. Sasa kwa vile CCM imeona vema kufuta upinzani basi ngoja wanyukane CCM kwa CCM na msemo wao wa enzi hizo wa mwenye kisu kikali ndiye atakula nyama unarudi kwa kasi. Kuua nguvu ya upinzani kutawatesa wanaCCM wasafi na wasio na fedha. Watu sasa watachaguliwa kwa misingi ya kuwa na fedha na kutoa rushwa.
 
Tena mbona wananchi hao hao waliahidiwa kugawiwa 50M@ kijiji? Hizo mbona hamkulalamika? fedha ni fedha tu. Acha huyo jamaa naye agawe kwa wananchi.
 
Tena mbona wananchi hao hao waliahidiwa kugawiwa 50M@ kijiji? Hizo mbona hamkulalamika? fedha ni fedha tu. Acha huyo jamaa naye agawe kwa wananchi.
Hizo milioni 50 za kila kijiji, mbona ziliisha gawiwa kitambo kupitia huduma kwa jamii.
P
 
Tumechoka Kila Siku Zuri Nanji Agawa Hela.Pelekeni Tarifa Takukuru
 
Nipo hapa madras india [emoji1128] kwa mwezi wa tatu sijawahi kumuona mwafrika akiongoza hata kitongoji. Nashangaa huko kwetu wahindi ndiyo wameshika hatamu

In God we Trust
siungi mkono rushwa lakini Mwanza huduma, ni Mtanzania mwenye asili ya kihindi wengine ni wasukuma kabisa, acha ubaguzi wa rangi.
 
This is wrong P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…