Mwanza imezizima wananchi wakesha kuusubiri mwili wa mpendwa wao hayati Magufuli utakaowasili saa 1:00 asubuhi!

Huku kwetu mamba akiuawa tunaenda kumwangalia, ili kujithibitishia kua kweli amekufa?
 
Wewe uvccm acha kutukana basi. Haya matusi yako hayawezi kumrudisha marehemu duniani. Jitahidi unywe maji mengi ili upunguze munkari! Umepaniki sana. 😇
Siku ya kufa wewe utasindikizwa na mbwa...watu hamna hata feelings...stupid guys...Yaani ta shetani ni afadhali he can reason...nyie ni vinyesi...takataka...lifeless...
 
Siku ya kufa wewe utasindikizwa na mbwa...watu hamna hata feelings...stupid guys...Yaani ta shetani ni afadhali he can reason...nyie ni vinyesi...takataka...lifeless...
Ukifuata huu ushauri wangu! Hakika utapendwa na kila mtu. Ukiwa ni Mtu wa kupenda Haki na Usawa kwa wote! Ukiwa siyo mtu wa kupenda ubabe, uonevu, ubaguzi, ukabila, umungu mtu, sifa za kijinga, utukufu, dhuluma, ubishi na ukaidi, ujeuri, dharau, ukiburi, nk. Hakuna atakaye kuchukia!

Kinyume na hapo, mtaishia tu kutukana, lakini haiwezi kusaidia chochote!
 
Huku kwetu mamba akiuawa tunaenda kumwangalia, ili kujithibitishia kua kweli amekufa?
Na itokee huyo mwamba 🐊aliua na kujeruhi watu wengi hapo Kijijini! Basi Kijiji kizima kitafurika kwenda kumshangaa huyo Mamba Mla Watu!!
 
kuwajaza wananchi ujinga si jambo zuri - wanaweza kuuana bure wakifikiri mwisho wa dunia ndiyo umeshafika.
 
Amemaliza safarii yake duniani anaenda tuandalia nasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…