Ujanja ni nini? Na ushamba ni nini? Mimi ni msukuma mshamba lakini naishi maisha yenye amani na furaha hata kuliko wewe mjanja.Unadhani kuwa na ndinga Kali ndo unakuwa sio mshamba
Kama Ni hivo konde girl asingekuwa mshamba
Hater No.1 karibu kwa pofu, lakini naomba utuambia uchumi huwa unapimwa kwa kuangalia nini zaidi ya GDP.Hadhi ni Mapato ,huna mapato unataka hadhi gani Sasa?
Mapato yapi kwanza tuanzie hapaHadhi ni Mapato ,huna mapato unataka hadhi gani Sasa?
Ingia PM bossWivu wa Mwanza utawaua. Mwanza ni habari nyingine. Mwanza ni ya pili kwa Dar Forever. Hutaki kajinyonge kwenu Longido
Mapato ya ndani ya Jiji ni kiduchu mnooooMapato gani unazungumzia wewe ambayo hayapo?
Mapato ya Jiji ni kiduchu mnoooo
Achana na habari za GDP,tukija huko Mbeya nao watadai nkHater No.1 karibu kwa pofu, lakini naomba utuambia uchumi huwa unapimwa kwa kuangalia nini zaidi ya GDP.
Yapi hayo ya kuwa namba 2? Acha kujilisha upepoHayo yanayosababisha kuwa namba mbili kwa pato taifa unachangia wewe?
Uzuri wa Mwanza wilaya zake zinachangia pato kwa asilimia kubwa tofauti na kwingine ambako mapato yanapatikana kwenye halmashauri za jiji pekee huku wilaya zake zikiwa hoi bin taabaniAchana na habari za GDP,tukija huko Mbeya nao watadai nk
Mapato ya ndani ni kiduchu mnoooo
Kahama namkubali Kwa lipi na nilibisha Kwa kipi?Dawa itaingia tu kidogokidogo, ulikuwa mbishi kwa Kahama lakini sasa hivi unakubali mwenyewe
Huko Bushi Sengerema,Ukerewe na Wilaya za hovyo kama hizo Zina mapato yapi? Unaogopa kuleta hata orodha..Uzuri wa Mwanza wilaya zake zinachangia pato kwa asilimia kubwa tofauti na kwingine ambako mapato yanapatikana kwenye halmashauri za jiji pekee huku wilaya zake zikiwa hoi bin taabani
Mwanza jiji la kistaarabu halina magonjwa ya ajabu ajabu, watu wake ni wasafi na jiji lenyewe ni safiKahama namkubali Kwa lipi na nilibisha Kwa kipi?
Mwanza ni Moja ya Miji ya hovyo,soon mtapata kipindupindu kama wale wenzenu waliorundikana kama nyie
Mkoa kuwa namba mbili kitaifa unafikiri ni mchezo?Huko Bushi Sengerema,Ukerewe na Wilaya za hovyo kama hizo Zina mapato yapi? Unaogopa kuleta hata orodha..
Mwanza nzima walau hapo mjini ndio pananafuu kwingine ni hovyo kabisa
Sehemu yeyote iliyorundikana watu kama zizi tegemea pindua pindua na hivyo Kuna Ziwa any time t kitanuka.Mwanza jiji la kistaarabu halina magonjwa ya ajabu ajabu, watu wake ni wasafi na jiji lenyewe ni safi