Huyu ndugu hata hajui anachokiongea eti Nyakabungo 🤣🤣🤣Mkuu unatoka Nyamnhongoro Stand kwenye Nyegezi, kama unaijua Mwanza vizuri, Nyakabungo imeingiaje hapo, na kwa kujiamini kabisa unasema Nyakabungo iko mjini kati! Mwanza ipi hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndugu hata hajui anachokiongea eti Nyakabungo 🤣🤣🤣Mkuu unatoka Nyamnhongoro Stand kwenye Nyegezi, kama unaijua Mwanza vizuri, Nyakabungo imeingiaje hapo, na kwa kujiamini kabisa unasema Nyakabungo iko mjini kati! Mwanza ipi hiyo?
Ulishawahi kufika Nairobi? ,unaijua sehemu inaitwa Kibera? ,unajua Buguruni na Tandale ziko Dar?, Na unajua Soweto inapatikana Johanarbug South Africa? ,mji gani mkongwe utakosa sehemu wanakaa wazawa/wenyeji?Habari wakuu,
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,
Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.
Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,
Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.
Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,
Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,
Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.
Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,
Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.
Tumsamehe bure huyu jamaa, kwa jinsi alivyoitaja hiyo mitaa ni ama amehadithiwa au alipita tu barabarani kwa bus/gari ndogo kwa hiyo hicho alichokiona na ana tumia kuhukumu hapa ni kile aliona pembezoni mwa barabara na sio Mwanza halisi!Wewe jamaa ni Dishi kinyama, Unaijua nyegezi au unalopoka na mdomo mpana Nyegezi kubwa mzee hebu tofautisha unaongelea Nyegezi ipi?, pia hiyo Buhongwa, Buhongwa ipi? Halafu mtaa wa Nyakabungo 🤣🤣🤣🤣kweli wewe ni Dishi, ulifikaje Nyakabungo ukashindwa kufika Isamilo?, Nyamhongoro ipi? Kumbe tunabishana na mtu ambae hata mwanza haijui,, muwe mnashuka mnatembea sio kulopoka kijinga, Basi kwa kukusaidia shuka Nyegezi, halafu ulizia Nyegezi majengo ni wapi then nenda, ukajionee mwenyewe,Mitaa yote uliyoitaja hapo juu yote huijui na huenda umepita kwenye na kukaririshwa, muwe na mnafanya tour ya kata nzima, Buhongwa ni kubwa mzee, Igoma ni kubwa mzee inategemea unasemea Igoma mtaa upi?, Kisesa na Nyamhongoro ndio hata usingeitaja kabisa maana hujui chochote kuhusu hiyo mitaa na Kisesa kama hujui ni upcoming manisipaa mpya,
Jitu limejaa makasiriko, mbipi weweHabari wakuu,
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,
Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.
Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,
Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.
Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,
Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,
Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.
Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,
Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.
Kasome vizuri nilichoandika ndio ufungue mdomo wako kunielekeza jiografia.Ihumwa hii iliyojengwa upande mmoja wa barabara na kwingine ni eneo la Jeshi !? Me nlkuwa naishi Samaki Samaki kule nmehamia Makulu tangu mwez wa pili.
Nkuulze kwanza unaijua Geography!? Unaijua Rio de Janeiro!?
Elimu zenu za kupatia JF ndio tatzo, Mwanza ni Jiji la miamba yani milima, Dodoma ni tambalare, kwhyo ulkuwa unategemea Mwanza itakuwa na muonekano km Dodoma!? Isome kwanza jiografia ya mji ndio uongee mzee ,lile Jiji lingekuwa na mataifa makubwa lingekuwa moja ya Jiji zuri san Africa hii, take that.
Kwendraa mpuuzi mmojaKasome vizuri nilichoandika ndio ufungue mdomo wako kunielekeza jiografia.