Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Mkuu unatoka Nyamnhongoro Stand kwenye Nyegezi, kama unaijua Mwanza vizuri, Nyakabungo imeingiaje hapo, na kwa kujiamini kabisa unasema Nyakabungo iko mjini kati! Mwanza ipi hiyo?
Huyu ndugu hata hajui anachokiongea eti Nyakabungo 🤣🤣🤣
 
Ulishawahi kufika Nairobi? ,unaijua sehemu inaitwa Kibera? ,unajua Buguruni na Tandale ziko Dar?, Na unajua Soweto inapatikana Johanarbug South Africa? ,mji gani mkongwe utakosa sehemu wanakaa wazawa/wenyeji?
 
Tumsamehe bure huyu jamaa, kwa jinsi alivyoitaja hiyo mitaa ni ama amehadithiwa au alipita tu barabarani kwa bus/gari ndogo kwa hiyo hicho alichokiona na ana tumia kuhukumu hapa ni kile aliona pembezoni mwa barabara na sio Mwanza halisi!
 
Jitu limejaa makasiriko, mbipi wewe
 
Kasome vizuri nilichoandika ndio ufungue mdomo wako kunielekeza jiografia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…