Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Hao siyo mkuu,mbuzi gani wanavuka zebra bila kuongozwa?kuna mshikaji aliwahi kuiba hao mbuzi amekuwa kichaa mpka wa leo
Mwengine pia Tangi Bovu aliiba hao mbuzi unaambiwa kila siku alikuwa anatatuliwa. Hadi Mwamposa alipoingilia kati. Lakini it was too late ataishi for the rest of his life bila marinda.kuna mshikaji aliwahi kuiba hao mbuzi amekuwa kichaa mpka wa leo
[emoji23][emoji119]Mbuzi
Hao siyo mkuu,mbuzi gani wanavuka zebra bila kuongozwa?
Mwanza Bwana ni Jiji linalokua kwa kasi sana, hilo linatokana na watu kuongezeka na Serikali imeweka miradi mingi ya kimkakati katika jiji hilo, lakini cha ajabu ni kwamba Mwanza ni mji unaoongoza kwa kuwa na mbuzi (wanyama) ambao hawana mwenyewe.
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia mbuzi wakikatiza barabara ya Nyerere kwenda Posta, kinachonishangaza ni kwamba hao mbuzi huwa hawagongwi wala nini, sasa majuzi nimeona Kondoo kabisa!
View attachment 2565551
Unamaanisha nature inaji-control yenyewe; the fittest. Hivyo vimbuzi viwili jamaa anashangaa; aende miji ya India ng'ombe wamezagaa hadi mahotelini; wanalala na kujisaidia ovyo mabarabarani wakiacha maelfu ya tani za vinyesi daily.Inaitwa Ecosystem mjomba
Dar wameachana na hiace city centre na pengo lao kufunikwa na bodaboda na bajaji kwa maelfu!Mwanza bado wanatumia hiace kati kati ya mji??
India si wanaabudu ng'ombeUnamaanisha nature inaji-control yenyewe; the fittest. Hivyo vimbuzi viwili jamaa anashangaa; aende miji ya India ng'ombe wamezagaa hadi mahotelini; wanalala na kujisaidia ovyo mabarabarani wakiacha maelfu ya tani za vinyesi daily.
Kuna mpango wa kuzisukumia pembeni ya mjiMwanza bado wanatumia hiace kati kati ya mji??