A
Mwanza inahitaji Ujenzi wa Chanzo kikubwa sana cha Maji kuliko vilivyopoHivi hii issue ni serious kiasi hiki? Kaja Waziri Jumaa Amidu Aweso na bado shida imeshindwa kusolvika?
Source ipo hapo ziwa lina ma millions of cubic meters bado kweli? MWAUWASA na bodi nzima mnazingua bwana.
Mamlaka ya Maji last time nilikuja wako na ofisi ndogo nasikia sahivi wana majengo mapya ya kishua.Mwanza inahitaji Ujenzi wa Chanzo kikubwa sana cha Maji kuliko vilivyopo
Chanzo cha Capripoint cha Miaka mingi ns Hiki kipya cha Butimba bado hali ni ngumu
Watu wanaongezeka sana ila vyanzo vilivyopp haviaccomodate ba uongezeko la Watu
Maendi ya Pembezoni kidogo kama Buhongwa, Kisesa, Buswelu aiseeh maji yanaweza toka mara moja kwa wiki mbili
Wana Ofisi kali sana kule mitaa ya IsamiloMamlaka ya Maji last time nilikuja wako na ofisi ndogo nasikia sahivi wana majengo mapya ya kishua.
Kwahiyo pesa za kujenga ofisi wanazo, ila intakes za maji hapana.
Hali ni Tete mkuuHivi hii issue ni serious kiasi hiki? Kaja Waziri Jumaa Amidu Aweso na bado shida imeshindwa kusolvika?
Source ipo hapo ziwa lina ma millions of cubic meters bado kweli? MWAUWASA na bodi nzima mnazingua bwana.
Yaani wananchi hatujaona mabadiliko yeyote.ULe Mkwara wa Aweso ilokuwa Kanyaboya
Mwanza Upuuzi mwingi sana kuanzia Uongozi sa Halmashauri Mkoa na serikali Kuu kwa ujumla ni Hovyo hovyoYaani wananchi hatujaona mabadiliko yeyote.
Swala la maji ni la nchi nzima. Hii style ya kutoa maji usiku wa manane nayo iko kila sehemu na sijui kwanini wanafanyaga hivyo. Msipoyaotea ndo umetoka hiyo!Mwanza tuna shida kubwa ya maji ambayo imekuwa ikidumu kwa miaka mingi, lakini haiongelewi kabisa. Kwa mfano, maeneo ya Kirumba, maji hutoka mara moja tu kwa wiki, na mara nyingi hutoka usiku wa manane.
Mbaya zaidi, bili za maji zinakuwa kubwa kwa sababu tunalazimika kuacha mabomba wazi kila siku ili angalau tukute hata ndoo moja imejaa. Wakati mwingine tunasahaulika kabisa hadi pale tunapopiga kelele kwa MWAUWASA.
Cha kusikitisha ni kwamba ukiwapigia simu mara ya kwanza, wanapokea na kukuahidi kushughulikia tatizo. Siku ikiisha ukipiga tena, unasikia ujumbe unaosema "your call has been restricted", na hali hiyo huendelea hadi mwezi unaisha.
Jamani, tunateseka sana. Tumeshatuma malalamiko hata wizarani, lakini hakuna majibu. Miaka nenda miaka rudi tunaishi kama tuko jangwani, ilhali Kirumba ipo umbali wa takribani kilomita mbili tu kutoka katikati ya Jiji la Mwanza.
Inasikitisha Sana mkuuHilo Ziwa mnafaidika nalo vipi au ndio swimming pool ya Mamba?
Hii nchi. Ninyamaze tu
Sijui Kwanini wanapenda kutoa maji usiku MwingiSwala la maji ni la nchi nzima. Hii style ya kutoa maji usiku wa manane nayo iko kila sehemu na sijui kwanini wanafanyaga hivyo. Msipoyaotea ndo umetoka hiyo!
Na hii ni nchi nzima ndo ratiba yao. Badala watoe maji mda ambao wengi hawajalalala,wao anawafungulia maji walinzi.Sijui Kwanini wanapenda kutoa maji usiku Mwingi