scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Nami naungana na wewe nimekaa majiji karibia yote lakini mwanza ndo niliona ni pazuri kozi hali ya hewa ni moderate,maji ya kutosha na hamna jamu za hovyo hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unabisha tu kijanaVyovyote mkuu ila luchelele siyo barabara ni mtaa
Unapoteza muda wako bureBado unabisha tu kijana
Mwanza hakuna barabara ya airport,pili luchelele sio mtaa.
Kisesa sehemu gani?Mwanza sasa ni kama home, nimekaa huko zaidi ya miaka 3 kabla ya kurudi Arusha. Nimefanikiwa kununua maeneo mbalimbali na kujenga pia. Ndugu na marafiki wengine walivutiwa nao wakanunua maeneo mengi huko. Mimi nilivutiwa na samaki na ukarimu wa wakazi wa huko, especially watu wa kisesa
Kinachokera Arusha, Kwanzaa Ni ardhi ya mbuga mvua ikinyesha Ni balaa.Mwanza inachokizidi Arusha ni kuwa na ziwa, mawe na samaki basi.