Mwanza kutamu asikwambie mtu

Nami naungana na wewe nimekaa majiji karibia yote lakini mwanza ndo niliona ni pazuri kozi hali ya hewa ni moderate,maji ya kutosha na hamna jamu za hovyo hovyo
 
Kisesa sehemu gani?
 
Mwanza inachokizidi Arusha ni kuwa na ziwa, mawe na samaki basi.
Kinachokera Arusha, Kwanzaa Ni ardhi ya mbuga mvua ikinyesha Ni balaa.

Hali ya hewa, kama Ni baridi basi ni baridi Kali Sana, ikija joto Ni joto la kutosha, kipupwe cha kutosha. Hali haieleweki
 
Anytime soon nitarudi mwanza
Nimemisi vile vitumbua pale shinyanga sehemu ambapo abiria wa allys star huwa wanapata breakfast wanapotokea mwanza. Sijawahi kula kitumbua kitamu vilee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…