A
Anonymous
Guest
Maafisa ya Maliasili na Uvuvi walioko Mwanza wanatunyanyasa sana sisi Wafanyabiashara wa dagaa, unakuta wanakuja pale Kirumba Kivukoni wanakamata mizigo hovyohovyo, hata kama una kibali wao wanakukamata tu.
Baada yah apo wanakutafutia kosa na kuanza kuomba rushwa wakidanganya eti ni fine na hawatoi risiti, si ni rushwa hiyooo?
Wananchi wengine tumejiajiri ili walau familia zetu zipate kijikimu ila hawa maliasili wanatukatisha tamaa sanaa.