Uchaguzi 2020 Mwanza: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Mwanza: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Mwanza una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:-

Ilemela:
Angelina Mabula (CCM) - Kura 147,724
Grayson Warioba (CHADEMA) - Kura 24,022

Nyamagana:
Stanislaus Mabula (CCM) - Kura 73,591
John Pambalu (CHADEMA) - Kura 42,209

Kwimba:
Shanif Mansour (CCM)

Sumve:
Kasalali Emmanuel Mageni (CCM)

Misungwi:
MNYETI ALEXANDER PASTORY - Amepita bila kupingwa

Magu:
Kiswaga Destery (CCM) - Kura 139,935
Leonard Kwizera (CHADEMA) - Kura 14,479.

Sengerema:
Tabasamu Hamisi Mwangao (CCM) - Kura 59,734
Victoria Benedict Batangile (Chadema) - Kura 7,949

Buchosa:
Eric Shigongo(CCM) - Kura 79,950
Abbas Mayala (Chadema) - Kura 11,285

Ukerewe:
Joseph Mkundi (CCM)

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Mwanza una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:-

Ilemela:

Nyamagana:

Kwimba:

Sumve:

Misungwi:
MNYETI ALEXANDE R PASTORY - Amepita bila kupingwa

Magu:

Sengerema:

Buchosa:

Ukerewe:

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
Nyamagana hamjambo?
 
Back
Top Bottom