Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Apr 17, 2022 #21 kedrick said: Hapo yupo na Mbunge wa Nyamagana na Mkuu wa Mkoa natumaini atafidiwa zaidiView attachment 2191012 Click to expand... Mkuu wa Mkoa tumbo moto
kedrick said: Hapo yupo na Mbunge wa Nyamagana na Mkuu wa Mkoa natumaini atafidiwa zaidiView attachment 2191012 Click to expand... Mkuu wa Mkoa tumbo moto
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Apr 17, 2022 #22 Sang'udi said: Tukutane 2025 Click to expand... Ameshapewa pilau atatumika kukipamba chama chetu
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Apr 17, 2022 #23 Faana said: Ameshapewa pilau atatumika kukipamba chama chetu Click to expand... Haha... Huu upinzani wa wachumia tumbo eti ndio unataka tuupe nchi... Mara mia tuongozwe na Makamba Jr ila siyo hawa.
Faana said: Ameshapewa pilau atatumika kukipamba chama chetu Click to expand... Haha... Huu upinzani wa wachumia tumbo eti ndio unataka tuupe nchi... Mara mia tuongozwe na Makamba Jr ila siyo hawa.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Apr 17, 2022 #24 Sang'udi said: Haha... Huu upinzani wa wachumia tumbo eti ndio unataka tuupe nchi... Mara mia tuongozwe na Makamba Jr ila siyo hawa. Click to expand... Bora nchi ijiongoze yenyewe tu
Sang'udi said: Haha... Huu upinzani wa wachumia tumbo eti ndio unataka tuupe nchi... Mara mia tuongozwe na Makamba Jr ila siyo hawa. Click to expand... Bora nchi ijiongoze yenyewe tu
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Apr 17, 2022 #25 Waonevu tu hao mgambo, Mbona huku kariakoo wamesharudi na mambo yanaenda?