Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Bomu la Kabendera moshi mzito asubiri kwanza......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia hilo kutafuta kura kwa upande wakoLakini kuna upande hatujasikia sera zao. Tunaambiwa tu nifikishe miaka 68
Kwanini umenipa upande?Wewe team Mbowe acha kuzingua
Kwani ccm kunakalika, ?Siasa hadi nimemkumbuka Raisi Samia, alisema " huko ndani hakukaliki"
Acha uchawaHeche kwa nini umeenda kukaa timu ya wanaoshindwa?
Unaenda kuzikwa kwenye siasa sababu ya ujeuri wako.
Ni sawa ila kuiondoa CCM madarakani ni ndotoLissu na Heche ni wapinzani wa kweli.
Na ndo moto utakapoanzia sasa, dunia ya sasa inataka akili sio ubabeJohn Wegesa Heche na TAL ukiwapa chama, ccm itahakikisha miaka mitano ijayo wako segerea
Daah amemuinua Lissu hatari sanaZee la nondo, God bless
Nataman amuunge mkono Lissu
Atamuunga mkono mara ngapi?Hawezi maana anajua kabisa lisu hatoboi
Sio rahisi kama unavyofikiriaJohn Wegesa Heche na TAL ukiwapa chama, ccm itahakikisha miaka mitano ijayo wako segerea
Jamaa anauwezo mkubwa sanaHeche ni mtu makini sana
Uwezo anao ila CCM sio rahisi kama unavyofikiriaJamaa anauwezo mkubwa sana
Unateseka sanaTumia hilo kutafuta kura kwa upande wako