Mwanza: Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, John Wegesa Heche achukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa'

Mwanza: Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, John Wegesa Heche achukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa'


View: https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR

Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani ya Tanzania,

Huenda Mhe John Heche akatangaza kumkabili vikali Ezekiel Wenje kwani tayari alishatangaza kumuunga mkono Tundu Lissu,

John Heche anatajwa kama mwanasiasa kijana na mwadilifu sana miongoni mwawanasiasa wa Tanzània,

John Heche kama atatangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA itakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa safari ya Freeman Mbowe na Hezekiah Wenje running mate wake.

Kwa habari na michongo moto moto usibanduke Jf.

Heche ni balaa na nusu Mbowe tabu ipo pale pale
 
Yote kwa yote tunataka demokrasia itawale ashindaye ashinde kihalali.
Binafsi sojaona wa kumuunga mkono hapo,Mbowe amechoka mawazo na TL ni mkurupuko sana hafai kuwa top say
 
Mbona hakuna utulivu. Kuna mamluki wamelipwa hapo
 
Back
Top Bottom