Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Zee la nondo, God bless
Nataman amuunge mkono Lissu
Nataman amuunge mkono Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uko upande gani mkuu kuwa wazi😆😆Tunafuatilia
Mimi niko ChademaWewe uko upande gani mkuu kuwa wazi😆😆
CHADEMA ipi?Mimi niko Chadema
Heche ni mtu makini sanaWalewale tu wafu na wafu wao
View: https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR
Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani ya Tanzania,
Huenda Mhe John Heche akatangaza kumkabili vikali Ezekiel Wenje kwani tayari alishatangaza kumuunga mkono Tundu Lissu,
John Heche anatajwa kama mwanasiasa kijana na mwadilifu sana miongoni mwawanasiasa wa Tanzània,
John Heche kama atatangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA itakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa safari ya Freeman Mbowe na Hezekiah Wenje running mate wake.
Kwa habari na michongo moto moto usibanduke Jf.
Wajumbe watakuwa hamnazo wasipotuletea Lissu na HecheTunafuatilia
Ndio maana kuna kampeni, ili kila upande ushawishi wapiga kuraWajumbe watakuwa hamnazo wasipotuletea Lissu na Heche
Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA ipi?
Hii combination ya Heche na Lissu ni balaa kubwaWajumbe watakuwa hamnazo wasipotuletea Lissu na Heche
Wewe team Mbowe acha kuzinguaNdio maana kuna kampeni, ili kila upande ushawishi wapiga kura
Lakini kuna upande hatujasikia sera zao. Tunaambiwa tu nifikishe miaka 68Ndio maana kuna kampeni, ili kila upande ushawishi wapiga kura
Hawezi maana anajua kabisa lisu hatoboiZee la nondo, God bless
Nataman amuunge mkono Lissu