FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Akitegemea kwamba atahonga au alitegemea nini?Aliwa double cross katika dili ,wakaja kudai chao ...mchana kweupe akawachapa risasi
sent from toyota Allex
Wanasema kama kuna watu wenye imani kubwa sana ya kutoka jela basi ni wale waliohukimiwa vifungo vya maisha na wale wa condemn(waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa).Asante waliopitia magereza wamekuelewa hapa..anakaa jela Kama mwaka mmoja iv afu anakata rufaa..amini kwamba anatoka kiulaini
Ilikuwa hivi, mama anavaa kama vile wanavyovaa wakina mama wa nchi za falme za kiaarabu. Wakishatoa hiyo "haramu" kwa mlinzi, kuna chumba ambacho wanakaa mahabusu, basi mama anaruhusiwa kumlisha baba chakula, anajifanya kujibebisha, anashusha zile nguo zake pana kwa hiyo sio rahisi kuonekana sana,...Nimetamani usimulie zaidi mkuu.
Pa1 na mauhunihuni yangu, kulivyo na kusanyiko la watu eneo la mahakama na vurugu zote zile, mtu anawezaje kuunga mb bila ya kushitukiwa na kadamnasi?
Chaji anaipata na anaunga mb bila wasiwasi duh, emb eleza zaidi mkuu ninufaike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umwamba na kujiamini hadi jela!Ilikuwa hivi, mama anavaa kama vile wanavyovaa wakina mama wa nchi za falme za kiaarabu. Wakishatoa hiyo "haramu" kwa mlinzi, kuna chumba ambacho wanakaa mahabusu, basi mama anaruhusiwa kumlisha baba chakula, anajifanya kujibebisha, anashusha zile nguo zake pana kwa hiyo sio rahisi kuonekana sana,...
Hela zinaleta shidaKama haki imetendeka hakuna shida. Kuna watu wakishakuwa na hela, wananunua visilaha wanakuwa wajeuri mbaya.
Mzozo mdogo tu anakuja na vitisho.
kitambo sana mshkaji wangu sana huyo jamaaNiko nae hapa anapiga Serengeti lager km kawaida...sio msumbufu hata....nimemuonyesha post yako anasema huna pesa unatafuta kesi..ha aha aha
Huwa wana jeuri balaaa.....mbele yangu huna haki wewe nitakuzaba shaba kama kuku tu........
ndio kauli zao
Wengi wa matajiri wa kanda ya ziwa hela wameipatia kwenye njia za magendo haswa uhalifu.
Basi zake bado zipo barabarani kweliMahakama Kuu Mwanza imemhukumu adhabu ya kifo mfanyabiashara wa kampuni ya mabasi J4, Jumanne Mahende (45) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya kuwaua watu wawili kwa kukusudia. Jumanne alikuwa akikabiliwa na Kesi ya mauaji namba 131 ya mwaka 2015
Anadaiwa kuwa Julai 13, mwaka 2015, saa 4 usiku, aliwaua kwa risasi, Ali Mohamed, fundi ujenzi wa Igoma wilayani Nyamagana na Claude Sikalwanda wa Nyasaka, Ilemela, Mwanza.
Kwa mujibu wa RPC Mwanza, Mkumbo alisema Saa 4 usiku Julai 13 mwaka 2015, mkurugenzi wa kampuni ya mabasi J4 Express akiwa anajiandaa kufunga ofisi yake, alikutana na watu wawili Ally Mohamed (35) na Claude Sikalwanda (35), ghafla ukaanza mzozo uliopelekea Luhende kuwapiga risasi na kufariki papo hapo.
Kwa upande wa ushahidi, mke wa Marehemu Ally Mohamed, Donatha Gabriel na Aziza Sikalwanda ambae ni dada wa marehemu Claude Sikalwanda waliiambia Mahakama hiyo kuwa mnamo tarehe 13 mwezi 7 mwaka 2015 siku ya tukio la mauaji lilipotokea marehemu waliwaaga kuwa wanaenda kuonana na bosi wao ambaye ni mtuhumini.
Inspekta Benidict Manyanda ambae ni shahidi namba tatu katika kesi hiyo aliiambia Mahakama kuwa siku ya tukio alifika eneo la tukio ambapo alikuta miili miwili ya marehemu ikiwa chini na baadae kuipelekea hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Pia soma > Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi
. .Kama uliweza 'kuwekwa' ndani MIAKA SITA' Ukitafutwa Ushahini wakati ameonekana akiwaua jamaa. Hakuna lisilowezekana Mkuu...Hapo sheria imechukua mkondo wake lakini bana haya mambo haya si ajabu akaja kukata rufaa na akashinda.
Hakika Mkuu.. .Kama uliweza 'kuwekwa' ndani MIAKA SITA' Ukitafutwa Ushahini wakati ameonekana akiwaua jamaa. Hakuna lisilowezekana Mkuu...