Mwanza: Msalaba Mwekundu wakanusha habari ya Watu kuzimia huku wameshikilia mifuko yao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Mratibu wa Red cross Mkoa wa Mwanza amesema kwamba hakuna mtu yeyote aliyezimia akishikilia mfuko wake mkononi wakati wa kuaga mwili wa Dr Magufuli Mkoani humo.

Bali kilichotokea ni kwamba maofisa wa Red cross walikuwa wanawavisha mifuko ama mikoba yao mikononi waombolezaji hao waliozimia ili kulinda mali zao.

Ufafanuzi huu wa kishindo umetolewa kwenye kipindi cha Leo Tena cha Redio Clouds .

Pia soma: Hivi inawezekana mtu kuzimia na kuendelea kushikilia mfuko aliobeba?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Red cross shida nin tena sisi tulimuona msukuma kashikilia kabisa kifungashio chenye sato nyie mmeamua kumtetea mwamba yul
Ubishi tu !
 
Bali kilichotokea ni kwamba maofisa wa Red cross walikuwa wanawavisha mifuko ama mikoba yao mikononi waombolezaji hao waliozimia ili kulinda mali zao.

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
1. Kuna tofauti ya kuvishwa na kushikilia..niliwaona mimi wameshikilia.

2. Nikiwa nimezimia nikavishwa mfuko wangu nitaulindaje hali sina fahamu?
 
Nyie wapingaji mbona hamuelewi πŸ˜†πŸ˜†
 
Na wale walioshikilia simu pia walivishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…